FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tayari kuna field huwa ipo ya kujaza details za mteja kuanzia jina, namba ya simu, TIN, VRN nk. Kama ukitakaNimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"
Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..