FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tayari kuna field huwa ipo ya kujaza details za mteja kuanzia jina, namba ya simu, TIN, VRN nk. Kama ukitakaNimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"
Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..
Mimi sikujaziwa mkuu..Tayari kuna field huwa ipo ya kujaza details za mteja kuanzia jina, namba ya simu, TIN, VRN nk. Kama ukitaka
Ni automated option, ipo, sema huijuiMimi sikujaziwa mkuu..
Hakuna tusi jipya, nilishatukanwa kama wewe ulivyofanya wala haikunipa shida wala fedheha yoyote hasa kwa mtu ambaye anajificha nyuma ya keyboard.Unatafuta bwana eeh?? Juzi nilinunua TV na sikuulizwa kuhusu Jina langu. Wewe ulitaka nielewe vp??..
Hata ingekuwa na jina, hawa jamaa hela wanazochukua ni nyingi kuliko maendeleo wanayoletaMkuu, receipt haina jina la mteja?? Wewe unaonaje??..