22 September 2026
Tandika, Dar es Salaam
Machinga wa jijini Dar es Salaam wasema maendeleo ya vitu siyo msingi wadai maendeleo ya watu
View: https://m.youtube.com/watch?v=pUFAOzubI44
Chinga hao wa halmashauri ya Temeke eneo la Tandika jijini Dar es Salaam waonesha uelewa mpana wa maendeleo ni nini na kulalamika kauli za viongozi kusisitiza katika hotuba zao juu ya mafanikio ya maendeleo ya vitu ni sera inayopuuza umuhimu wa maendeleo ya watu
Machinga hao wasema wameshoshwa na hotuba za SGR reli, mabarabara, madaraja...
Uchumi wa uchuuzi, umachinga, mamantilie, bodaboda, bajaj unaelekea kugonga mwamba, .. sera mpya ya Maendeleo ya Watu inabidi ibuniwe ili kutoa ajira rasmi
Wafanyabiashara wote walioondolewa Maeneo ya Tandika wamehamishiwa Stendi Mpya ya Buza, wilaya ya Temeke . Zoezi hili ni endelevu kwa muda wa siku 21 katika maeneo hayo Halmashauri ya Temeke.