Kutakuwa na uhakika gani kama hao wasiofungua biashara zao wameenda kwenye mkutano wa CCM?Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
View attachment 3456174
wewe inakuuma nini? ww baki na no reforms no erectionHaki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
View attachment 3456174
Inqkubalika vipi wakati inatoa hela ili watu waende mikutanoni? Unawatisha watu, unawapa pesa, wakajaze uwanja!hapo, unakubalika?Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Bado unamkubali lopolopo😃😃😃😃😃😃 Bado namkubali mpaka kesho
Watu wengi wanapelekwa, wamelipwa pesa ili kuonesha inakubalika. Bila kusahau kuna Usalama zaidi ya 1000.Wananchi wengi hapo watakwenda kuwachora tu na kuangalia nini kinaendelea...
Labda wengine kuangalia wasanii, lakini ccm imepoteza mvuto sana..
Kinachoniuma mimi ni Rushwa pesa zimegawiwa sana mtaani kuelekea huu uzinduzi wa kawewewe inakuuma nini? ww baki na no reforms no erection
Sio kwa mwenye akili zake timamu, ni aidha ananufaika na mfumo ama ni dunduka.Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Siyo nauli Tu na posho za walipa kodiHaki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.
View attachment 3456174