GE2025 Machinga waelekezwa kwenda kawe Kujaza Uwanja hakuna kufungua Vibanda leo

GE2025 Machinga waelekezwa kwenda kawe Kujaza Uwanja hakuna kufungua Vibanda leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.

View attachment 3456174
Nimekutana na kundi la Wanawake kama 20 kutoka Kinyerezi kuelekea Kawe.Wengine walikuwa Wana lalamika hawana nauli .

Mama akawa anasema anashukuru walau wamekuwa wengi maana alikuwa na wasiwasi hela za watu
 
Labda wamepunjana tu pesa imeanza kumwagwa mtaani last two weeks
 
Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Hahahaaa
Kukubalika au kutumia mabavu...hapo machinga atakayekiuka na kufungua biashara atapigwa zengwe anyimwe nafasi kufanya biashara!.
Kwa hiari yao wasingefunga biashara, hilo ni agizo!!.
 
Haki kama mnavyoona hapa kariakoaa aha ha 😄 🤣 😂 endeleeni kuchekea maCCM Narudia tena vikundi vyote Dar vimeagizwa kufika kawe bila kukosa maaana nauli wameshapewa we are still in the Stone age.

View attachment 3456174
Ndo mbuzi wa kafara hapo kama walimu wanavyoamrishwa kukimbiza mwenge na kuwahadaa pia wanafunzi waende huko ..... Obviously watz wengine ni wapuuzi

Hawana kazi uende kwenye shughuli km hizo ilhali familia yako inasubiri ugali na pia kuhangaika kwako ndo njia ya chooni haioti nyasi ndumb fools

Wakafanye kazi wenzao wanajilipa mipesa kibao kula kuwepo hapo marupurupu na Bado Kodi zetu zinaishia kwenye magari Yao ...

Hao machinga wanafaa kumwagiwa upupu
 
Haya ya wamachinga hayanishitua kama yale ya kumuhusu Mwendazake

kwa kifupu, niimesoma uzi wa britanicca kuhusu waliohusika kumundoa Mwendazaeke(uzi umeondolewa) nimebaki natafakari maana tuhuma ni nzito huku majina ya wahusika nikishindwa kuyaamini.

Ngoja labda ata-post na kwenye mtandao wa X.

Binadamu ni hatari sana
Ni kina nani?
Mods wanafuta nyuzi dah!
 
Back
Top Bottom