GE2025 Machinga waelekezwa kwenda kawe Kujaza Uwanja hakuna kufungua Vibanda leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mwendo ndo utakua huu huu mpaka zoezi linakamilika
 
Chama chakavu bila vitisho hamna wa kukisikiliza..!!
 
Ccm japo ina madhaifu yake ila bado ina kubalika kwa kiasi kikubwa
Inqkubalika vipi wakati inatoa hela ili watu waende mikutanoni? Unawatisha watu, unawapa pesa, wakajaze uwanja!hapo, unakubalika?
Ccm haina tofauti na ule mtindo wa, Dar, kama umefiwa na huna watu wakuja kuomboleza msibani, kuna watu wa kukodisha, wanakuja wanalia, wataomboleza, watazika, we wape pesa, tu na most!
 
Wananchi wengi hapo watakwenda kuwachora tu na kuangalia nini kinaendelea...
Labda wengine kuangalia wasanii, lakini ccm imepoteza mvuto sana..
Watu wengi wanapelekwa, wamelipwa pesa ili kuonesha inakubalika. Bila kusahau kuna Usalama zaidi ya 1000.
Wagombea Ubunge zaidi ya 200 na gari zao na watu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…