Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Serikali ikiamua inakupanga vizuri tu na hakuna kitu utafanya
Shida watakula wapi? Maana wao wanatega sehemu wanazopata wateja
Ingekuwa hawapati kitu, wenyewe wangeondoka
Mi nimezaliwa nimewakuta ila kipindi cha mzee ruksa walishamiri zaidi.japo waliwindwa kama digidigi kwa tawala zilixofuata ila magufuli ndio akawapa kiburi na wakajiachia,lawama zote kwa johnNadhani swali kuu ama hoja kuu hapa ni kwamba hawa jamaa (wamachinga/marching guys ) walianza lini na lipi haswa chimbuko (mzizi) wao?
Tukipata root/mzizi wao then all will fall into place!
Mengine ni siasa kama siasa nyingine!
Tena la wenye ulemavu wa akiliHili jambo litafeli ni suala la muda tu maana machinga wanajiona kuwa ni kundi maalumu sana
Huyu si angekodi tu frem..Kuna moja alichukua mkopo wa 15m ilu awe machinga..Jana kavunjiwa kibanda
Wanawapangaje?Machinga wanapangwa kuanzia leo katika jiji la Dar es Salaam
Tunaomba zoezi liishe kwa usalama na amani bila kuacha chuki.
Mkuu wa mkoa akifanikiwa hili basi nashauri Tanzania nzima waige mpango wake.
We all know source ni Magufuli kusema wasibughudhiwe...watendaji wote walinyamaza...Nadhani swali kuu ama hoja kuu hapa ni kwamba hawa jamaa (wamachinga/marching guys ) walianza lini na lipi haswa chimbuko (mzizi) wao?
Tukipata root/mzizi wao then all will fall into place!
Mengine ni siasa kama siasa nyingine!
😀😀😀😀Enzi za Iddi Amini hao unawapanga kwa risasi za smg anayezidi tu utumbo nje
Walidanganywa tu na wanasiasa wapuuzi....wanatakiwa kupangiwa maeneo ya wazi na yawekewe miundombinu, kama vile maji, vyoo, bara bara na vituo vya basi ili wateja wafike kwao. Mjini na barabarani waondolewe haraka, wanachafua mazingira na muonekano wa mji.Hili jambo litafeli ni suala la muda tu maana machinga wanajiona kuwa ni kundi maalumu sana
Cc: Job Ndugai aione hii comment!Statement yako ime analyse tatizo into only one major factor!
- - Wateja wao ndo tatizo! - -
But as usual, hulka yetu ya kuhamisha magoli na kutafuta mchawi inatubeba!
Watanzania na Unafiki ni Pete na Kidole
Machinga wansaujua udhaifu wa marais wetu na ndiyo wameanza kuutumia, utasikia mtu katimuliwa na zoezi litasimama.Machinga wanapangwa kuanzia leo katika jiji la Dar es Salaam
Tunaomba zoezi liishe kwa usalama na amani bila kuacha chuki.
Mkuu wa mkoa akifanikiwa hili basi nashauri Tanzania nzima waige mpango wake.
Hatimuliwi mtu awamu hiiMachinga wansaujua udhaifu wa marais wetu na ndiyo wameanza kuutumia, utasikia mtu katimuliwa na zoezi litasimama.
Toka lini ccm ilishinda kwa kura!?