Machinga wanapangwa Dar es Salaam

Machinga wanapangwa Dar es Salaam

Serikali ikiamua inakupanga vizuri tu na hakuna kitu utafanya

Nadhani swali kuu ama hoja kuu hapa ni kwamba hawa jamaa (wamachinga/marching guys ) walianza lini na lipi haswa chimbuko (mzizi) wao?
Tukipata root/mzizi wao then all will fall into place!

Mengine ni siasa kama siasa nyingine!
 
Shida watakula wapi? Maana wao wanatega sehemu wanazopata wateja
Ingekuwa hawapati kitu, wenyewe wangeondoka

Statement yako ime analyse tatizo into only one major factor!

- - Wateja wao ndo tatizo! - -

But as usual, hulka yetu ya kuhamisha magoli na kutafuta mchawi inatubeba!

Watanzania na Unafiki ni Pete na Kidole
 
Nadhani swali kuu ama hoja kuu hapa ni kwamba hawa jamaa (wamachinga/marching guys ) walianza lini na lipi haswa chimbuko (mzizi) wao?
Tukipata root/mzizi wao then all will fall into place!

Mengine ni siasa kama siasa nyingine!
Mi nimezaliwa nimewakuta ila kipindi cha mzee ruksa walishamiri zaidi.japo waliwindwa kama digidigi kwa tawala zilixofuata ila magufuli ndio akawapa kiburi na wakajiachia,lawama zote kwa john
 
Kuna moja alichukua mkopo wa 15m ilu awe machinga..Jana kavunjiwa kibanda
 
Nadhani swali kuu ama hoja kuu hapa ni kwamba hawa jamaa (wamachinga/marching guys ) walianza lini na lipi haswa chimbuko (mzizi) wao?
Tukipata root/mzizi wao then all will fall into place!

Mengine ni siasa kama siasa nyingine!
We all know source ni Magufuli kusema wasibughudhiwe...watendaji wote walinyamaza...

Ila JPM kalala mauti
Ehee tunafanyaje...
 
Issue ni kwamba hapa tunapiga siasa na danadana tu....

  1. Kuwapanga ni suluhisho la muda mfupi.... (kuhahirisha tatizo)..... Wengine wanaokuja kesho na keshokutwa je ?
  2. Hakuna anayependa kuwa machinga (wengine sio machinga ni wafanyabishara ambao wanaweka bidhaa zao sehemu ambazo sio maalumu hivyo kuleta uchafu na kuvunja sheria...
Suluhisho ni moja tu...., kuhakikisha watu hawawi machinga / kupunguza namba yao..., ni nani katika nchi yake anafurahia yafuatayo:-
  1. Maisha ya kubahatisha kwa kufanya kazi hatarini
  2. Hakuna Uhakika wa maisha yao, (pensheni ya uzeeni, bima za afya na mtu akiugua hajui kesho yake itakuwaje)

Kama taifa haifai tuongelee jinsi ya kuendelea kuwa na machinga bali ni vipi tutawaondoa hao machinga.....

 
Hili jambo litafeli ni suala la muda tu maana machinga wanajiona kuwa ni kundi maalumu sana
Walidanganywa tu na wanasiasa wapuuzi....wanatakiwa kupangiwa maeneo ya wazi na yawekewe miundombinu, kama vile maji, vyoo, bara bara na vituo vya basi ili wateja wafike kwao. Mjini na barabarani waondolewe haraka, wanachafua mazingira na muonekano wa mji.
 
MAISHA NI MZUNGUKO.
2021 - Watendaji wanaagizwa na viongozi na kuwapanga Wajasiriamali.
2022 - Wanasiasa wanahoji na kukemea, kwanini mnawabughudhi Walalahoi (na sio wajasiriamali).
2025 - Machinga (na sio wajasiriamali) wanaacha maeneo yao na kuvamia mitaani wakilindwa kuwa ni wapigakura.
2026 - Watendaji wanaagizwa na viongozi na kuwapanga Wajasiriamali (sio maeneo ya awali).
Kwenye masoko na magulio, vibanda/meza ziko wazi. Ukihitaji unaambiwa muone fulani na sio Halmashauri husika.
"BIASHARA NI ASUBUHI, MAHESABU JIONI".
 
Siku hizi kila raia anataka kuwa machinga ndo maana wafanyakazi wa kupiga vibarua wanakosa
 
Statement yako ime analyse tatizo into only one major factor!

- - Wateja wao ndo tatizo! - -

But as usual, hulka yetu ya kuhamisha magoli na kutafuta mchawi inatubeba!

Watanzania na Unafiki ni Pete na Kidole
Cc: Job Ndugai aione hii comment!
 
Machinga wanapangwa kuanzia leo katika jiji la Dar es Salaam

Tunaomba zoezi liishe kwa usalama na amani bila kuacha chuki.

Mkuu wa mkoa akifanikiwa hili basi nashauri Tanzania nzima waige mpango wake.
Machinga wansaujua udhaifu wa marais wetu na ndiyo wameanza kuutumia, utasikia mtu katimuliwa na zoezi litasimama.
 
Back
Top Bottom