- Thread starter
- #21
Huo msafara mbona una makorokoro mengi!? Kwani kuna kitisho cha kupinduliwa rais mwanamke!?
Kwa kweli inakarahisha 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo msafara mbona una makorokoro mengi!? Kwani kuna kitisho cha kupinduliwa rais mwanamke!?
Hofu yake kuna watu wanaweza kuibuka ndani ya chama chake kuutaka urais 2025. Na wala haitashangaza kwa kuwa yeye urais wake haukupitia kwenye taratibu zile za kawaida walizopitia watangulizi. Ndio maana Majaliwa kashaanza kuwatisha mawaziri, eti 2025 ni yeye tena.( yaani huyo wanayemuita mama).Kwani Samia yeye anasemaje?maana akili na nguvu zake anawaza uchaguzi wa 2025
CHADEMA elfu ngapi wapo magereza kwa kesi za kubumba?
Lakini wewe umejificha nyumba ya keyboard wenzako wanalala sakafuni miakaKwa vile tungalipo asema Chinga - Shujaa ni kufia vitani.
Kukosekana kwa mkakati wa mapambano ni kikwazo. Kupambana si lelemama:
CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
Tunapaswa kuyajaza magereza yao pomoni.
Kumtemesha mbwa nyama mdomoni hakuwezi kuwa kitu rahisi.
Hofu yake kuna watu wanaweza kuibuka ndani ya chama chake kuutaka urais 2025. Na wala haitashangaza kwa kuwa yeye urais wake haukupitia kwenye taratibu zile za kawaida walizopitia watangulizi. Ndio maana Majaliwa kashaanza kuwatisha mawaziri, eti 2025 ni yeye tena.
Lakini wewe umejificha nyumba ya keyboard wenzako wanalala sakafuni miaka
Kwanini wewe usiongoze hayo mapambano?Si sahihi kudhani superficially mwingine kajificha ila wewe.
Vinginevyo nitakwambia wewe ndiye uliyejificha nyuma ya keyboard. Acheni kuchezeshwa ngoma na ma CCM nanyi mnakubali kama mazuzu tu.
Uzi huu ni rasmi:
CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya
Tulioko tayari kufa tuko lukuki. Uko wapi mkakati wa mapambano? Vipengele vyote vipo uzi huo.
Hii ngoma inahitajika viongozi. Uongozi una gharama. Mwoga na asiyefaa atoke. Wenye kuweza kushika hatamu tupo.
Uzi huu unaangazia vyema and for each phrase we mean business:
Tutambuane, nani ni nani katika kudai Katiba mpya
Ni kweli kuwa kuna watu wanateseka magerezani wao na familia zao. Mi CCM inataka hivyo. Hii inatokea kwa sababu ya ineptness ya viongozi wetu.
Kwanini watu wateseke magerezani? Mkakati wa kuwahami wahanga wetu uko wapi? Au ni mtu kuchuma janga na kula na wakwao?
Kwanini mambo yapoe kwa kukamatwa Mbowe? Kukamatwa hakutaisha kama ambavyo hata kufa hakutaisha.
Kwani wako wapi kina Lijenje? Kwani kama ni kufa watakuwa walikufa bure?
Lazima tuwe tayari hata kufa if that is what it takes!
Pale ufipa panahitaji in-house assessment kwa sasa. Tusioridhishwa na mwenendo tuko wengi. Tusingependa chama kitumbukie kwenye mzozo.
Habari ndiyo hiyo.
Kwanini wewe usiongoze hayo mapambano?
Tatizo ni kudhani kuna mtu atakuja kutatua shida zako....
Uko sawa ila tahadhari lazima ichukuliwe kwani hawa watu wamedhamiria kubaki madarakani kwa gharama yoyote ikiwa ni pamoja na kutumia vyombo vya dola ikewepo Polisi,TISS,Msajili wa vyama,Mahakama. CCM siasa za ushindani zimewashinda kabisa hivyo wameamua kutumia mbinu za kigaidi,sasa kupambana na magaidi wa kidola yahitaji uvumilivu na tahadhari ya hali ya juu. Hawa wenzetu wameshajitoa utu na ufahamu,hawajui vibaya wanachowaza ni kutawala tu.Pamoja na yote mkuu hatupaswi kutegemea huruma ya mtu awaye yote.
Haki haitapatikana kwa mujibu wa matakwa yao. Wala haki haitapatikana kwa mujibu wa sheria zao.
Kumbuka matakwa na sheria zao ni kuwa waendelee kudumu milele:
Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?
Pana maeneo makamanda itabidi kukubaliana kupeana makavu na Bila kuangalia makunyanzi. Bila hivyo hatuwezi kutoboa.
Kuwa tayari kuyajaza magereza yao ni karata bora kabisa tuliyo nayo inayomtia adui kiwewe.
Chama si kuwa kwenye madaftari ya Mutungi peke yake. Huko hata TLP wapo.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Makala ajiuzulu au atolewe mapema. Mwisho wa maovu na upendeleo kwenye ajira machinga wanatamka tufanye utafiti tuone kama ni kweliSafari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi:
View attachment 1995245
Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi.
Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025?
Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri?
Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini kuwafanya watu waone haja ya kujiajiri zaidi na kutoka serikalini?
Hili likiwahusu vigogo wote wakiwamo Rais, Mawaziri, wabunge nk haliwezi kusaidia kupunguza makali kwenye jamii?
Makamanda hatuna la kujifunza kutoka kwa washupavu hawa?
Haki hupiganiwa na kupiganiwa kwake kwenye tija ndiyo huku katika mazingira tuliyomo.
"Shujaa ni yule anayefia kwenye uwanja wa kivita." Asema Chinga.
Angalizo:
Mfano wa gharama za shughuli kama hizi:
View attachment 1995255
Zisingeweza kutumika kwa tija zaidi?
serikali hata iajiri vipi haiwezi kuajiri wahitimu wote..
Uko sawa ila tahadhari lazima ichukuliwe kwani hawa watu wamedhamiria kubaki madarakani kwa gharama yoyote ikiwa ni pamoja na kutumia vyombo vya dola ikewepo Polisi,TISS,Msajili wa vyama,Mahakama. CCM siasa za ushindani zimewashinda kabisa hivyo wameamua kutumia mbinu za kigaidi,sasa kupambana na magaidi wa kidola yahitaji uvumilivu na tahadhari ya hali ya juu. Hawa wenzetu wameshajitoa utu na ufahamu,hawajui vibaya wanachowaza ni kutawala tu.
Na bado. Ngoja idadi ya Watanzania ifike milioni 200 na wengi wakiwa ni vijana ambao hawana ajira. Lazima nchi itachafuka.
we unaongea kwasababu uko unakula vumbi huko lusahunga ukikabidhiwa serikali utafanya chini ya asilimia 5 ya hiki kinachofanywa na serikali iliyo madarakani..Ni kweli. Lakini hudhani kwa mwenendo wa serikali hii tatizo lingeweza kuwa dogo zaidi?
View attachment 1995461
Au wewe unayaonaje hayo pale post #16 ndugu mjumbe?
we unaongea kwasababu uko unakula vumbi huko lusahunga ukikabidhiwa serikali utafanya chini ya asilimia 5 ya hiki kinachofanywa na serikali iliyo madarakani..
Hao wamachinga wakati wanabebwa na Serikali hiyohiyo walikuwa wanakata viuno, hawakuwa na time na wapinzani. Sasa wamegeukwa wanalialia. Upinzani hauna kitu cha kujifunza kutoka kwa hao wahuni.Makamanda wajifunze kitu? Hiyo ni ndoto ya mchana. Makamanda, hasa wafuasi wa mr #dishlimetilt, hawawezi kujifunza kitu maana wanaamini wanajua kila kitu!