JOHNGERVAS
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 1,011
- 1,681
Kumaskinishwa kwa jamii
Wakati fulani tulijitambua kama watu tunaojitegemea na kujiletea Maendeleo
Siku za usoni
Tukaaminishwa kuwa wanyonge na wategemezi!
Wategemezi wa fadhila na hisani ya mkubwa
Tukafuria kuwa wanyonge, maskini!
Tukafanywa fukara wa fikra, mali na utu!
Haki yetu ikageuzwa hisani na fadhila!
Kila mara tulipaswa kumsujudu mfadhili na mhisani wetu!
Tukafukarishwa na kumaskinishwa!
Tutajikomboaje na kupata tena uhuru wetu ???
Father Lakshi,Congregatio Sancti Spiritu