Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

Kumaskinishwa kwa jamii
Wakati fulani tulijitambua kama watu tunaojitegemea na kujiletea Maendeleo
Siku za usoni
Tukaaminishwa kuwa wanyonge na wategemezi!
Wategemezi wa fadhila na hisani ya mkubwa
Tukafuria kuwa wanyonge, maskini!
Tukafanywa fukara wa fikra, mali na utu!
Haki yetu ikageuzwa hisani na fadhila!
Kila mara tulipaswa kumsujudu mfadhili na mhisani wetu!
Tukafukarishwa na kumaskinishwa!
Tutajikomboaje na kupata tena uhuru wetu ???

Father Lakshi,Congregatio Sancti Spiritu
 
Mji umekaa vizuri sana kama buguruni palikuwa pameoza
 
Naona nchi hii inaelekea kwenye hatua muhimu zaid (watu kuwa jasiri kusimamia hak zao )
 
Safi sana...ni vzuri sasa hv kufanya Kazi kimya kimya..coz deadline ilishaisha
 
Anayekula mkate kwa blueband,hajui kuna mtu hata sukari anakosa
 
Sumu ya uholela ikishakua tamu huwa haiui tena
 
Nchi ipo katika ukuaji, hivyo haya hayana budi kutokea ili nchi ikue.
 
Back
Top Bottom