Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

Kwani Samia yeye anasemaje?maana akili na nguvu zake anawaza uchaguzi wa 2025
Hofu yake kuna watu wanaweza kuibuka ndani ya chama chake kuutaka urais 2025. Na wala haitashangaza kwa kuwa yeye urais wake haukupitia kwenye taratibu zile za kawaida walizopitia watangulizi. Ndio maana Majaliwa kashaanza kuwatisha mawaziri, eti 2025 ni yeye tena.( yaani huyo wanayemuita mama).
 
Lakini wewe umejificha nyumba ya keyboard wenzako wanalala sakafuni miaka
 

Labda Majaliwa kavutiwa naye kwenye sera hii 😁😁:

 
Lakini wewe umejificha nyumba ya keyboard wenzako wanalala sakafuni miaka

Si sahihi kudhani superficially mwingine kajificha ila wewe.

Vinginevyo nitakwambia wewe ndiye uliyejificha nyuma ya keyboard. Acheni kuchezeshwa ngoma na ma CCM nanyi mnakubali kama mazuzu tu.

Uzi huu ni rasmi:

CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

Tulioko tayari kufa tuko lukuki. Uko wapi mkakati wa mapambano? Vipengele vyote vipo kwenye uzi huo.

Hii ngoma inahitajika viongozi. Uongozi una gharama. Mwoga na asiyefaa atoke. Wenye kuweza kushika hatamu tupo.

Uzi huu unaangazia vyema and for each phrase we mean business:

Tutambuane, nani ni nani katika kudai Katiba mpya

Ni kweli kuwa kuna watu wanateseka magerezani wao na familia zao. Mi CCM inataka hivyo. Hii inatokea kwa sababu ya ineptness ya viongozi wetu.

Kwanini watu wateseke magerezani? Mkakati wa kuwahami wahanga wetu uko wapi? Au ni mtu kuchuma janga na kula na wakwao?

Kwanini mambo yapoe kwa kukamatwa Mbowe? Kukamatwa hakutaisha kama ambavyo hata kufa hakutaisha.

Kwani wako wapi kina Lijenje? Kwani kama ni kufa watakuwa walikufa bure?
Lazima tuwe tayari hata kufa if that is what it takes!

Pale ufipa panahitaji in-house assessment kwa sasa. Tusioridhishwa na mwenendo tuko wengi. Tusingependa chama kitumbukie kwenye mzozo.

Habari ndiyo hiyo.
 
Kwanini wewe usiongoze hayo mapambano?
 
Kwanini wewe usiongoze hayo mapambano?

Jibu ni rahisi limo kwenye niliyoandika.

Kwa vile yaonyesha u mvivu wa kusoma nita extract kidogo mle. Ila ungekuwa umesoma ingependeza zaidi.

Kuongoza mapambano haya ni shughuli takatifu yenye prerequisites zake:



Hizo zikiwapo mtu yeyote nikiwamo miye niko tayari kuyaongoza mapambano na hata kufa in such a just cause.

Mazingira hayo yanawekwa na viongozi katika chama. Si yeyote nyumbani kwake. Kiongozi asiye na maono basi hata kusikiliza maoni?
Huyo atakuwa hafai.

Watu wanateseka magerezani na kuuwawa kwa morali ya kupambana kwa sababu ya kuwa viongozi inept.

Ni kwa mustakabala mwema tungependa amani katika chama.

Ila kama hali itaendelea hivi, tutawaomba baadhi ya viongozi inept pale ufipa wakae pembeni kabla ya kuwaondosha wao kwanza kama watakomaa ili tuweke mazingira yanayohitajika.

Ninakazia rejea post ile ukasome na attachments zake kujiridhisha.
 
Tatizo ni kudhani kuna mtu atakuja kutatua shida zako....

Halafu tatizo jingine ni kudhani ku play by the rules ni ujanja.

Adui anataka tufuate sheria zake ambapo kuu kabisa ni kutokumtia taabu.

Kwa hiyo sasa ndiyo tunamkubalia?
 
Uko sawa ila tahadhari lazima ichukuliwe kwani hawa watu wamedhamiria kubaki madarakani kwa gharama yoyote ikiwa ni pamoja na kutumia vyombo vya dola ikewepo Polisi,TISS,Msajili wa vyama,Mahakama. CCM siasa za ushindani zimewashinda kabisa hivyo wameamua kutumia mbinu za kigaidi,sasa kupambana na magaidi wa kidola yahitaji uvumilivu na tahadhari ya hali ya juu. Hawa wenzetu wameshajitoa utu na ufahamu,hawajui vibaya wanachowaza ni kutawala tu.
 
Makala ajiuzulu au atolewe mapema. Mwisho wa maovu na upendeleo kwenye ajira machinga wanatamka tufanye utafiti tuone kama ni kweli
 
serikali hata iajiri vipi haiwezi kuajiri wahitimu wote..

Ni kweli. Lakini hudhani kwa mwenendo wa serikali hii tatizo lingeweza kuwa dogo zaidi?



Au wewe unayaonaje hayo pale post #16 ndugu mjumbe?
 

Mkuu tuiweke hivi tunapambana ndani ya misingi ya kamanda Mbowe. Hatubebi silaha wala hatutumii nguvu. Hii ndiyo sababu wawakilishi wa balozi mbali mbali wapo pale.

Tunapambana kwa mujibu wa katiba.

Unadhani kama wanachama wengine hata 30,000 Dar wangeendelea na makongamano watawakamata wote? Kwa nini tunakimbia? Unadhani Mbowe angekuwa gerezani bado?

Kwanini hao ulioorozesha Tiss, polisi na wote wanawaogopa machinga au boda boda?

Kwanini wasiwaogope Chadema?
 
Na bado. Ngoja idadi ya Watanzania ifike milioni 200 na wengi wakiwa ni vijana ambao hawana ajira. Lazima nchi itachafuka.
 
Na bado. Ngoja idadi ya Watanzania ifike milioni 200 na wengi wakiwa ni vijana ambao hawana ajira. Lazima nchi itachafuka.

Ngoja wabunge madege kwa cash.

Wasafiri na misafara ya anasa isiyo ya lazima.

Wapeane ajira za kudumu, mishahara na marupurupu zaidi wao 😁😁.
 
Ni kweli. Lakini hudhani kwa mwenendo wa serikali hii tatizo lingeweza kuwa dogo zaidi?

View attachment 1995461

Au wewe unayaonaje hayo pale post #16 ndugu mjumbe?
we unaongea kwasababu uko unakula vumbi huko lusahunga ukikabidhiwa serikali utafanya chini ya asilimia 5 ya hiki kinachofanywa na serikali iliyo madarakani..
 
we unaongea kwasababu uko unakula vumbi huko lusahunga ukikabidhiwa serikali utafanya chini ya asilimia 5 ya hiki kinachofanywa na serikali iliyo madarakani..

Wewe si Messiah. Pole kwa kudhani niko Lusahunga.

Niko napiga jaramba hapa nikimkodolea macho Bwana Mnyika. Akikaa hovyo tunapiga coup tunachukua chama. Believe me Mwamba, Adamoo, Bwire, Ling'wenya na Lijenje (popote alipo) watashangilia.

Sina nia ya kukamata nchi ila nikikamata siwezi kuwa zuzu kama nduguzo:



1. Kazi serikalini na mashirika ya umma mtu atafanya kwa contract miaka minne minne.
2. Mtu anaweza ku renew mara moja tu.
3. Watu wote watalipa kodi stahiki na kwa usawa.
4. Mishahara serikalini na taasisi zote za serikali itakuwa chini kabisa kuwashawishi watu kwenda kufanya shughuli zao.
5. Serikali itakuwa na Mawaziri wasiozidi 15.
6. Idadi ya mikoa na wilaya nitaipunguza kubakia kama 7 yenye wilaya kama 4 kila mmoja.
7. Hakutakuwa na ma RAS wala wakurugenzi.
8. Wabunge itakuwa ni mmoja kwa wilaya.
9. Nk

Maboresho ni lukuki kupunguza matumizi na kuwekeza katika kuweka fursa za kujua uchumi na kuongoza ajira.

Hatuna vya kujifunza kwa wengine?

Your browser is not able to display this video.


Ninakazia siwezi kuwa zuzu:



Kwa hakika nitafanya si chini ya 100 times kuliko hawa.
 
Makamanda wajifunze kitu? Hiyo ni ndoto ya mchana. Makamanda, hasa wafuasi wa mr #dishlimetilt, hawawezi kujifunza kitu maana wanaamini wanajua kila kitu!
Hao wamachinga wakati wanabebwa na Serikali hiyohiyo walikuwa wanakata viuno, hawakuwa na time na wapinzani. Sasa wamegeukwa wanalialia. Upinzani hauna kitu cha kujifunza kutoka kwa hao wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…