Machinga wasisumbuliwe

Machinga wasisumbuliwe

walipigwa waO..

yapuuze maelezo yao
wameyapindisha..[emoji2]
Kumbe wamegeuza maneno kuficha aibu! Hata mimi kidogo nilishangaa eti mtu umpige machinga halafu ubaki salama kwa jinsi machinga walivyo na umoja kama waendesha bodaboda!
 
Kumbe wamegeuza maneno kuficha aibu! Hata mimi kidogo nilishangaa eti mtu umpige machinga halafu ubaki salama kwa jinsi machinga walivyo na umoja kama waendesha bodaboda!
siunajua ili uzungumziwe humu JF lazima uhusishe kitu kitakachogusa hisia za watu!

sasa hiyo huwa ni rahisi kana utaongea kitu cha kipuuzi ...!!

ndio maana huwa wanapindisha ukweli kwa kuambatanisha ujinga kidogo.. ili lengo litimie..
 
Kuna mmoja pale Msimbazi nilijichanganya nikakanyaga mashuka yake akaanza kumaindi,wee wee alijuta siku ile kufungua biashara yake maana nilipiga wakajifanya kutaka kumsaidi nikawaingiza kwenye vipigo wote,basi watu wenye maduka wakawa wanasema safi sana maana wamezidi viherehere kisa wameruhusiwa na Magu.
Kajaribu na pale congo mkuu iyo labda ilikuwa ni chanika uliwakuta mahali wawili au watatu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
machinga hawapendi ujinga

*mkitaka tuwaone nyie ni bingwa zaidi kapangeni kwa zile gwanda*
 
Back
Top Bottom