Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Kumbe wamegeuza maneno kuficha aibu! Hata mimi kidogo nilishangaa eti mtu umpige machinga halafu ubaki salama kwa jinsi machinga walivyo na umoja kama waendesha bodaboda!walipigwa waO..
yapuuze maelezo yao
wameyapindisha..[emoji2]