Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Stop it please, sina mbavu huku!
Yani unavo hadithia naona kama nilikuwepo na najiskia vibaya kuliko hata wewe. hahahahaha
Dada alikua ofisini hapo, kikazi zaidi. lol
Duh! hakuna hata mtu aliyeamua kumsemea hovyo huyu binti!?
Mkuu, sometimes watu kama hao ni kuwapotezea tu. Ukijaribu kumwambia atakuporomoshea matushi makali, na usipo tulia hata mama yako atatukaniwa viungo vyake vya uzazi pia. Sasa hapo aibu ya nani?
natamani ningekuwepo hilo daladala
ningemu enjoy kwa kujifanya naguna kwa sauti...
like eeeh......duhh....lol
Unaambiwa watu walifanya hivo lakini mdada hakujali kabisa, kama sio yeye!natamani ningekuwepo hilo daladala
ningemu enjoy kwa kujifanya naguna kwa sauti...
like eeeh......duhh....lol
Haya Mwali & Cantalisia mkalale, hii mida ya (........) alaa ! Hamlali ! ?Wala hujakosea maana mtu kauzu kwa kiwango hicho hashindwi kumwagia matusi mpaka ukajuta kumsema,mbaya zaidi ukiangalia kakuzidi umri hata umbo,ni kumwacha abebe aibu zake mwenyewe tu!
Haya Mwali & Cantalisia mkalale, hii mida ya (........) alaa ! Hamlali ! ?
Umeanza kwenda nje ya mada. Kazi yako, utaanzishiwa thread...Haya Mwali & Cantalisia mkalale, hii mida ya (........) alaa ! Hamlali ! ?
nadhani aibu ni relative sana, lakini wapo wanaopenda wasio na aibu pia.
Wanaowapenda wasio na aibu wanawapenda kwa sababu moja tu.
hivi kongosha hujagundua kuwa hako ka aibu aibu kako na kuumauma vidole huwa vinanimaliza kabisa? Au unadhani kwa nini nina mpango wa kumtuma rejao alete posa?wenye aibu wanapendwa kwa sababu ngapi?
You are such a good mwali, Mwali.Ukiuliza utaambiwa: Tunaenda na wakati mzee. lol
Binafsi I think like you, it is not proper kwa mwanamke kua too comfortable kuongea matusi hadharani au kukaa mkao ambao hauonekani wa kidesturi pale alipo... but this is just me :A S embarassed:
Well well well....... be my guest....!jamani haya mambo ya soni na aibu ni ya kuzaliwa nayo.
Wengine wa mwaka 42 lakini soni haijawahi kuwa kwenye kamusi yetu na maisha yanasonga.
Sijui kumtaizama mwanamme kwa kwa aibu, mmh, labda.
hivi kongosha hujagundua kuwa hako ka aibu aibu kako na kuumauma vidole huwa vinanimaliza kabisa? Au unadhani kwa nini nina mpango wa kumtuma rejao alete posa?
Well well well....... be my guest....!