Macho makavu - aibu tena ya kike hakuna?

Macho makavu - aibu tena ya kike hakuna?

Stop it please, sina mbavu huku!
Yani unavo hadithia naona kama nilikuwepo na najiskia vibaya kuliko hata wewe. hahahahaha
Dada alikua ofisini hapo, kikazi zaidi. lol

Hahahaha!unafikiri ungekuwepo ungecheka,ungetaman ufike unakoshuka ucendelee kuckia aisee!yani watu tukajidai kuangalia nje nakupotezea but wala haikusaidia!alipomaliza zake wala hakua na habari na pamoja na wengine kusonya,kumwangalia vibaya wala hakujali mtu!
 
Duh! hakuna hata mtu aliyeamua kumsemea hovyo huyu binti!?

Bora angekua bint huyu alikua keshapita ubinti cjui nimwite mdada mkubwa!yan hata hakuna aliyemuliza kitu watu walibaki na mishangao,wengine kuguna au kusonya tu!nahic butwaa ndio zilitawala akili za watu!
 
Mkuu, sometimes watu kama hao ni kuwapotezea tu. Ukijaribu kumwambia atakuporomoshea matushi makali, na usipo tulia hata mama yako atatukaniwa viungo vyake vya uzazi pia. Sasa hapo aibu ya nani?

Wala hujakosea maana mtu kauzu kwa kiwango hicho hashindwi kumwagia matusi mpaka ukajuta kumsema,mbaya zaidi ukiangalia kakuzidi umri hata umbo,ni kumwacha abebe aibu zake mwenyewe tu!
 
Kilichofunikwa baba!!! Cha wazi ndio kiwazi siwezi kuwa na mategemeo bali huenda nikashiba kabla ya kula!
 
natamani ningekuwepo hilo daladala
ningemu enjoy kwa kujifanya naguna kwa sauti...
like eeeh......duhh....lol

The boss unajua hiki co kitu cha kawaida kwa namna yoyote km hujawahi kukumbana nacho utajikuta unackia aibu ww,na mtu wa hv hata ugune anaweza acjali kbs!hahaha the boss bwana!
 
natamani ningekuwepo hilo daladala
ningemu enjoy kwa kujifanya naguna kwa sauti...
like eeeh......duhh....lol
Unaambiwa watu walifanya hivo lakini mdada hakujali kabisa, kama sio yeye!
 
Wala hujakosea maana mtu kauzu kwa kiwango hicho hashindwi kumwagia matusi mpaka ukajuta kumsema,mbaya zaidi ukiangalia kakuzidi umri hata umbo,ni kumwacha abebe aibu zake mwenyewe tu!
Haya Mwali & Cantalisia mkalale, hii mida ya (........) alaa ! Hamlali ! ?
 
Haya Mwali & Cantalisia mkalale, hii mida ya (........) alaa ! Hamlali ! ?
Umeanza kwenda nje ya mada. Kazi yako, utaanzishiwa thread...
:focus:
Sometimes wanaume pia hawana aibu, tuseme tu ukweli.
Unakuta mwanaume anatongoza kwa kutumia maneno ambayo hata kwa kuyasoma peke yako chumbani utaona aibu!
Alafu the way anataka akushike shike... unamsalimia kwa mkono anakukuna hivi in the palm, au anataka akuvute, akukiss huku humjui hakujui, ndo kwanza mmekutana! shame...
 
jamani haya mambo ya soni na aibu ni ya kuzaliwa nayo.

Wengine wa mwaka 42 lakini soni haijawahi kuwa kwenye kamusi yetu na maisha yanasonga.

Sijui kumtaizama mwanamme kwa kwa aibu, mmh, labda.
 
i like your post aisee maanake dadazetu wamekosa aibu kabisa hadi nashangaa ndo utandawazi inafikia point unakuta mwanamke anatukana matusi mpka unaogopa kabisa kma kweli ni binadamu wa kawaida mfano kuna matusi ya viungo vya miili yao wanapenda sana kuitumia hata mbele ya audience does not care huwa nashangaa. dada zetu rudisheni ili aibu yenu i like it aiseee
 
nadhani aibu ni relative sana, lakini wapo wanaopenda wasio na aibu pia.
 
Ukiuliza utaambiwa: Tunaenda na wakati mzee. lol
Binafsi I think like you, it is not proper kwa mwanamke kua too comfortable kuongea matusi hadharani au kukaa mkao ambao hauonekani wa kidesturi pale alipo... but this is just me :A S embarassed:
You are such a good mwali, Mwali.

Will you marry me?
 
jamani haya mambo ya soni na aibu ni ya kuzaliwa nayo.

Wengine wa mwaka 42 lakini soni haijawahi kuwa kwenye kamusi yetu na maisha yanasonga.

Sijui kumtaizama mwanamme kwa kwa aibu, mmh, labda.
Well well well....... be my guest....!
 
usimtume Rejao bwana
ujue huyo ni small hausi yangu
mtume babu DC au ODM

kama unapenda aibu ya kuuma kucha
naanza kuuma za miguu

hivi kongosha hujagundua kuwa hako ka aibu aibu kako na kuumauma vidole huwa vinanimaliza kabisa? Au unadhani kwa nini nina mpango wa kumtuma rejao alete posa?
 
nimeenda kuweka apointment muhimbili
waniwekee mshipa wa aibu
labda mie ulikatwa kabla sijazaliwa

si unajua tena mie hata nilipozaliwa sikulia

Well well well....... be my guest....!
 
Back
Top Bottom