Macho yangu yananidanganya?

Tukana tu waTanzania wote,maana mmeamua mwka huu
 
Mimi nilijua watu watakua wengi Ila sikujua mama watakua hivi.
Angalia hii video watu walivyo wengi, nimeshangazwa.
Nyani Ngabu
Your browser is not able to display this video.
 
'Naamini ipo siku mtanikumbuka tena mtanikumbuka kwa mema sio kwa mabaya'
 
Enzi za kampeni ungesikia ...
"watu wamelipwa pesa na wengine wamebebwa na malori kuja kumsikiliza"
Huyu mtu alipendwa na wengi sana sana sana
Bado hawatakosa chakuongea.
 
Hahahaaa, watanzania hao hao walihamasishwa kuandamana wala hawakuandamana! Unasemaje kuhusu hilo?
Unauliza swali,majibu yake unayajua. Walihamasishwa na nani? Wewe mwenyewe unajua. Hata kwa ule kuhamasishwa kidogo tu,waache wawe huru. Wasije wale wengine eti watafanya usafi barabarani siku hiyo,wengine wakatangaza kabisa atakaejaribu hata kunusa barabarani,atapigwa atachakaa. Ndio huko unaita kuhamasishwa?
 
Shida ya Afrika hamuelewi demokrasia.... Mnadhani siasa ni vita. Kwani Diamond akigombea Urais mtampa Kura? Ila akifariki hawatojaa watu?

Kwamba kwa kuwa wamejaa msiba wa Mond anapendwa sana eti ndio kigezo alishinda kwa kishindo uchaguzi???? Hakuna correlation

Mimi nawajua rafiki zangu CHADEMA damu ila wamemwaga machozi toka juzi wana taharuki....... But kura zao najua hawakumpa 2020!!

Binafsi naweza mchukia ''RAIS John Magufuli'' ila siwezi mchukia John Magufuli!!!
 
Hiyo ya Fatma hata mimi nimeona!

Desperate menopausal little bitch.
Mkuu, Saa hizi tunatakiwa kuomboleza kwa dhati. Alipendwa au hakupendwa kwa sasa haina tija. Ila nadhani mwenye macho haambiwi ona.
 
Mbona akija mbeligiji hawajai ebu acha mambo ya ajabu mimi sina ushabiki wa vyama lakini ukweli ni kwamba MAGUFULI alipendwa zaidi ya CCM na CHADEMA
Mimi mwenyewe sina itikadi ya chama. Na Watanzania nawafahamu pia. Kuhamasishwa ninakokuzunguzia,ni kila chombo cha habari kiwe huru kutangaza hilo tukio,kana ilivyo hili,na wananchi wajue kabisa halitaingiliwa na vyombo vya dola,wajue hilo tukio lina baraka zote za serikali
 
huu unafki umezoeleka sana labda kama uwe mgeni na waafrika ndo unaweza ukaona hiyo ni icon ya love

Kwa JPM ni Unafiki ila kwa Lisu ni “upendo wa watu” akili za Ufipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…