Well, you do have a mother, don't you? Probably sisters, aunt's as well....and????
Well, you do have a mother, don't you? Probably sisters, aunt's as well
Ben saanane, azory, mawazo na wengine wengi....nao Ni binadamu ujue?!!! siyo manguruwe hao.Kama hichi ndicho ulichokiona kwenye machozi ya watanzania bc una matatizo ya akili
Magu anapendwa sana. Kuna tatizo moja kubwa sana la propaganda chafu ambazo zjnaendeshwa na kambi pinzani hasa kupitia mitandao ya kijamii. Lakini uhalisia kwa wananchi ni tofauti kabisa.
Tangu amefariki kambi pinzani wamefanya hate campaign kwa kasi kubwa zaidi. Na hata kudanganya dunia kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi mkuu. Angalia mtu kama Fatma Karume anachukua picha ya msafara sehemu ambayo hakuna makazi ya watu na kuzirusha eti watu wachache! na kuficha sehemu kubwa ambako kuna umati wa watu!
Yaani wanachuki iliyopitiliza na isiyo na sababu, kisha eti wanasema eti marehemu ndiyo alikuwa na chuki
Unaumia ukiwa wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UNGEKUEPO NA KUSHUHUDIA NYERERE ALIVYO KUFA, UMATI ULIKUA MARA 3 AU 5 YA HUU. SASA SIJUI UNGESEMA NYERERE NI MUNGU...?
Tulioshuhudia mikusanyiko ya Nyerere huu Magu tunaona ni mdogo sana. By that time hakuna social media
Bank NBC HQ naingiza pesa baada ya kupata faida ya biashara zangu...Unaumia ukiwa wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengi wa wasiompenda Magu ni Wauza dawa za kulevya, wafanyabiashara wasiopenda kulipa kodi, majizi na mafisadi, vibaraka wa mabeberu, wanasiasa ambao walipigwa pini kuacha kuhubiri siasa na kufanya kazi, wafanyakazi wa serikalini waliozoea posho haramu na wananchi wachache wasiojitambua.Kwa ware ambao maisha yao hayakiguswa ambao ni wanachi wengi wa kawaida, walimpenda sana, lkn watumishi wa serikali, wafanyabiashara, na wLe waliotendwa ktk utawala weke wakiwemo wanasiasa hawakumkubali. Binafsi mimepima kwenye mikusanyiko, hali ni tofauti. Kon zipo nyingiwmno
Soma hapa zen jichunguze kundi ulilopo na jibu utakuwa nalo [emoji116][emoji116][emoji116]Bank NBC HQ naingiza pesa baada ya kupata faida ya biashara zangu...
Wewe unafurahia nyomi la msiba ukiwa kwa mume wa dada yako au nyumban kwa ndugu zako...? Endelea kupumuliwa
Wengi wa wasiompenda Magu ni Wauza dawa za kulevya, wafanyabiashara wasiopenda kulipa kodi, majizi na mafisadi, vibaraka wa mabeberu, wanasiasa ambao walipigwa pini kuacha kuhubiri siasa na kufanya kazi, wafanyakazi wa serikalini waliozoea posho haramu na wananchi wachache wasiojitambua.
Iko hivyo yani.
Eti Nyerere alikuwa na nyomi kuliko la Magu, hapo hapo mnasema watu walikodiwa magari kujaza uwanja, baada ya kuona mmefeli maelezo yenu mnaanza kusema marehemu aachwe kutembezwa, yn yote hii ni aibu iliyowapata baada ya kuona watu walimpenda Magu kinyume na mahubiri mliyokuwa mkiyatoa hapa.UNGEKUEPO NA KUSHUHUDIA NYERERE ALIVYO KUFA, UMATI ULIKUA MARA 3 AU 5 YA HUU. SASA SIJUI UNGESEMA NYERERE NI MUNGU...?
Tulioshuhudia mikusanyiko ya Nyerere huu Magu tunaona ni mdogo sana. By that time hakuna social media
NYIE NDIO WAPUUZI AMBAO MLIKUA MNASHINDWA KUMUELEWA MAGU, Mnaishia kuwachukia watu wenye pesa, sasa kwa taarifa yako hakuna kipindi watu wametengeneza pesa kama awamu hii. Alichotaka yeye watu ni kua na nidhamu ya matumizi ya pesa. Sasa wewe endelea kushabikia umasikini wako ukiwa kwenye nyumba za watu...Soma hapa zen jichunguze kundi ulilopo na jibu utakuwa nalo [emoji116][emoji116][emoji116]
Asingekwapua kura kwenye uchaguzi uliopita na kushinda kihalali ndio ingeonyesha jinsi gani anapendwa na watu.Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo tuamini kweli alikuwa anachukiwa sana na watu walio wengi zaidi?
Naona umejijibu vzr, asante sana [emoji122][emoji122][emoji122]NYIE NDIO WAPUUZI AMBAO MLIKUA MNASHINDWA KUMUELEWA MAGU, Mnaishia kuwachukia watu wenye pesa, sasa kwa taarifa yako hakuna kipindi watu wametengeneza pesa kama awamu hii. Alichotaka yeye watu ni kua na nidhamu ya matumizi ya pesa. Sasa wewe endelea kushabikia umasikini wako ukiwa kwenye nyumba za watu...
Mkuu hili nililiona Live hapa Chang’ombe ,Niseme tu pia kuwa sipendelei mwili wake kuzungushwa zungushwa sehemu tofauti nchini, lakini naelewa.
Ila, if Dar is anything to go by, this guy was loved!
Leo mabodaboda wameongoza msafara wake kwenda uwanja wa Uhuru, tena kwa amani kabisa.
Wala hawakubugudhiwa na Askari.