Macho yangu yananidanganya?

You are
Bitter...
And I don't see how Magufuli and what they do with his body is hurting you!?

What's the connection!?
 
Tukumbushane kidogo…..
Analysis yako iko biased, kwamba kwenda msiba wa mtu ndio mnampenda? Wana CCM wangapi walimchukia Lowassa na kumtukana matusi ya nguoni ila mbona walienda kumzika?

Kipimo cha JPM kukubalika ilikua uchaguzi wa 2020 but he messed up, mimi naamini angeshinda maybe by 55% so kulikua hakuna haja ya kuharibu uchaguzi na kupora wabunge wa upinzani.

If crowds ndio zinaonyesha mtu anapendwa kivipi wakijaa mikutano ya upinzani mnasema hawana kadi, sijui majobless, mara kura sio nyomi!!

View: https://youtu.be/SfXyHBE7v4o?si=Wq0JiK4sKQitju1_
Cha ajabu hili jimbo la Kyerwa hatukupata hata diwani na JPM tunaambiwa alipata zaidi ya 80%!!

Cc Tindo
 
Uende kwenye msiba wa jitu usilolipenda kwa minajili gani?

Make it make sense!!
 
Ni sample tu kwamba hata usipompenda mtu utakuja tu msibani
1. Unaenda kwenye msiba wa mtu usiempenda kufanya nini?

2. Huwezi kulinganisha watu wawili walioenda kwenye msiba wa mwanachama mwenzao wa chama chao na mamia ya maelfu ya wananchi wa kawaida waliojitokeza kumuaga aliyekuwa Rais wao.

Matufaha siyo mastafeli. Usiyachanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…