Machotara, hebu tupeane changamoto mlizowahi kutana nazo kwenye maisha yenu

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Wale wenye damu mchanganyiko.
Hivi ni changamoto gani mlizowahi kutana nazo katika maisha yenu kutoka na mchanganyiko wa damu ??? Miaka ya nyuma ilikuwa ni tabu sana kupata ajira hapa Tanzania bila kuwa unahisiwa-hisiwa sana. Mbali na hapo kunakuwa na kasumba ya kuangaliwa kwa jicho fulani hivi ndani ya jamii. Tena kama wazazi ni jamii ya kizungu (hasa wale wa ulaya magharibi) na kiafrika ndiyo kabisa mtoto unaweza kuchanganyikiwa kabisa kwa mivutano ya jamii hizi mbili.

Machotara wengi hupata kasumba ya kutelekezwa na mzazi moja hasa wale ambao wanaishi nje ya nchi. Tena wengine hushindwa kabisa kutambua ni jamii ipi aungane nayo na kufuata mfumo wake wa maisha.

Wale machotara au wenye rafiki na ndugu machotara naomba mtupe uzoefu wenu.
 
Nilikuwa na demu wangu chotara baba mfipa mama mrusi..baba ake alikuwaga DJ miaka ya themanini mwishoni akananga zali akaenda Russia akakutana nawanamke wa kirusi akazaliwa demu wangu mwaka 92..familia ilirudi dar mwaka 97 mi nilikutana NAE mwaka 2009.

Baba ake akafa mwaka 2011 ...baba ake alikuwa amechoka hatari na mama ake hana kitu but kwa sababu ya ule uzungu watu wakawa wanamchukulia wa kishua..ilikuwa changamoto kubwa sana kwake na kwangu pia
 
Naunganisha ile thread yako na mchango wako hapa ..NAPATA PICHA!
 
Nilikuwa na demu wangu chotara baba mfipa mama mrusi..baba ake alikuwaga DJ miaka ya themanini mwishoni akananga zali akaenda Russia akakutana nawanamke wa kirusi akazaliwa demu wangu mwaka 92..familia ilirudi dar mwaka 97 mi nilikutana NAE mwaka 2009.

Baba ake akafa mwaka 2011 ...baba ake alikuwa amechoka hatari na mama ake hana kitu but kwa sababu ya ule uzungu watu wakawa wanamchukulia wa kishua..ilikuwa changamoto kubwa sana kwake na kwangu pia
Russia au Ukraine mazee?
 
Back
Top Bottom