MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Wale wenye damu mchanganyiko.
Hivi ni changamoto gani mlizowahi kutana nazo katika maisha yenu kutoka na mchanganyiko wa damu ??? Miaka ya nyuma ilikuwa ni tabu sana kupata ajira hapa Tanzania bila kuwa unahisiwa-hisiwa sana. Mbali na hapo kunakuwa na kasumba ya kuangaliwa kwa jicho fulani hivi ndani ya jamii. Tena kama wazazi ni jamii ya kizungu (hasa wale wa ulaya magharibi) na kiafrika ndiyo kabisa mtoto unaweza kuchanganyikiwa kabisa kwa mivutano ya jamii hizi mbili.
Machotara wengi hupata kasumba ya kutelekezwa na mzazi moja hasa wale ambao wanaishi nje ya nchi. Tena wengine hushindwa kabisa kutambua ni jamii ipi aungane nayo na kufuata mfumo wake wa maisha.
Wale machotara au wenye rafiki na ndugu machotara naomba mtupe uzoefu wenu.