Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Je niwalee kwa misingi ipi.
- Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha?
- Nitaweza? Nitawezaje?
- Inamaana nikishindwa na wanangu wataomba pesa kwa wanaume kumi
- Vipi hao kumi wote wakimwambia akafuate
- Inamaana mwanangu ataliwa na wanaume kumi?
Betty anafanya kazi ta....
- Aliingia kwa kuhonga mbususu
- Akapewa kazi
- Anavaa na kupendeza
- Kimotoro nae yeye ni dada wa pili kwenye familia yao,
- Yeye hana kazi yoyote ila ni rafiki mkubwa sana wa Betty
- Je anatumiaje kiswaswadu wakati mwenzie ana iphone
- Kinachofuata ni kupatikana kwa iphone no matter how!
Tuwaze pamoja kama siku Betty akinunua gari