Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Wafundishe njia za kujihami, ulizotumia kuwarubuni binti wa watu.
ninawazia sana wanangu wa kike.![]()
- Je niwalee kwa misingi ipi.
- Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafundishe njia za kujihami, ulizotumia kuwarubuni binti wa watu.
ninawazia sana wanangu wa kike.![]()
- Je niwalee kwa misingi ipi.
- Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nna kamoja tu ila naona kabisa kanakua mwajuma ndala ndefu.
Nimepiga mkwara tu kakiliwa mbunyenye kalete hela,sio nikape hela kakahonge vimario ntaua mtu.
Jitahidi kuwalea kwa misingi ya Dini/Kiimani ingali mapema, itasaidia kukabiliana na yajayo kwa kiasi chake
Daahh, kwamba kwa raha zao...Hahaha nimekumbuka tu wale waalimu wa madarasa ya watoto, kwaya, wahubiri wanaokula mbususu za wadada kwa raha zao...
Kuna mambo mengine hupaswi kuwasaidia wewe kama mzazi acha tupambane na hali zetu watoto zetu wa siku hizi kuliwa kuko pale pale.Jambo la kwanza jitahidi kuwasomesha vizuri nabinti zetu ili wawe na uelewa wa namna ya kukabikiana na maisha, pili uwe karibu nao kipindi chote kujua wanaishije, wana matatizo gani na uwasaidie kuwatatulia shida zao
Muosha rungu?Huwa wanasema Muosha huoshwa
Wee jamaaa wewe Mimi nilishatubuWafundishe njia za kujihami, ulizotumia kuwarubuni binti wa watu.
Mnakosea sana kujipa nafasi ya Mungu. Mpeni Mungu nafasi yakeShule tu mkuu,at least wanoponapona ingawa bado nature itawadai.Ndo hivo Mimi pia huwa nawaza sn huyu binti yangu aisee