Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unanivuruga ujueNitamuhurumia kwa yule asietaka mwenyewe ila mengine ni magugu maji yanakupa yenyewe..😂
Aanguaye huanguliwa!!!nnawazia sana wanangu wa kike
Je niwalee kwa misingi ipi.
Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha,
Vurugika tu ila dunia tayari ilishavurugika yenyewe..😂Unanivuruga ujue
Na nyie si mtapata vitoto vyenu vya like. Vikianza kukua msisahau kupitia uzi huuVurugika tu ila dunia tayari ilishavurugika yenyewe..😂
😃Na nyie si mtapata vitoto vyenu vya like. Vikianza kukua msisahau kupitia uzi huu
Si kwa sababu ya hutu tubinti twangu tutatu?Blaza mbona unataka kutuchanganya sisi wenye mabinti.....
Unawaonea wivu wanaonnawazia sana wanangu wa kike
Je niwalee kwa misingi ipi.
Niwaambie nini wapigane na tamaa za maisha,
Ntaweza? Ntawezaje?
Huko nako kuna mabazazi siku hiziJitahidi kuwalea kwa misingi ya Dino/Kiimani ingali mapema, itasaidia kukabiliana na yajayo kwa kiasi chake
Kumbe ni pisi kali, lazima waliwe tena sio kimasihara 😍
Jambo la kwanza jitahidi kuwasomesha vizuri nabinti zetu ili wawe na uelewa wa namna ya kukabikiana na maisha, pili uwe karibu nao kipindi chote kujua wanaishije, wana matatizo gani na uwasaidie kuwatatulia shida zaoninawazia sana wanangu wa kike.
- Je niwalee kwa misingi ipi.
Daaahh, tutaponea wapi mh mjumbe!Huko nako kuna mabazazi siku hizi