Machozi hunitiririka nikiwatazama binti zangu

Watoto wa siku hizi haijarishi umewalea kwa misingi ipi wanavurugwa tu ila jaribu tu
 
Lakini mbususu si wana baki nayo ata wakiliwa
 
Watoto wetu wa kike kuliwa na kuishi kwa kudanga ni matokeo ya malezi ambayo wamepitia kwa baba zao na mama zao.

Kosa linaanza kwa mama anapokuwa hajui namna ya kukubali proposal ya mwanaume ambaye si kiongozi wa familia. Anaangalia mwanaume mwenye
Nzuri na itasaidia
 
Timiza wajibu wako kama mzazi mengine mwachie mwenyewe atamalizana nayo. Usiumize kichwa sana . Ukishindwa mfungie GPS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…