paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 588
Mzee kaa kwakutulia tuwanywa kisha mnaenda morroco mnaliwa dah huu mwaka wenu shubaaaaaamitUna umwa
Hivi mnalipi lakutuumiza wakati leo ndiyo furaha yenu ya mwisho mzee tupo hapaMnaumia sana sjui kwanini??
Tena sana.Una umwa
Mtaumwa nyie bado mda kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]Tena sana.
ππTena sana.
Unaumwa naweMzee kaa kwakutulia tuwanywa kisha mnaenda morroco mnaliwa dah huu mwaka wenu shubaaaaaamit
We paka nini, mbona hiyo mechi ya mwisho hujaitaja?Hichi ndicho kinachoikuta Simba hii ndiyo mechi yake ya MWISHO kuwa na furaha. Tunzeni haya maneno nipo nimekaa paleeee mje mniuwe kama itakuwa uwongo tutakutana hapa hapa kwenye page hii.
View attachment 2580019