Machozi Machozi Machozi kwa Simba

Machozi Machozi Machozi kwa Simba

Ajabu wala mashabiki wa Simba hawafungui nyuzi hovyo kuiandama Yanga yetu sisi kila baada ya lisaa tunahangaika hadi huruma hii ni kuonyesha jinsi gani hawa viumbe wametuzidi kitu.
Safari bado ni ndefu🏃🏃
 
Hichi ndicho kinachoikuta Simba hii ndiyo mechi yake ya MWISHO kuwa na furaha. Tunzeni haya maneno nipo nimekaa paleeee mje mniuwe kama itakuwa uwongo tutakutana hapa hapa kwenye page hii.​

View attachment 2580019
.
JamiiForums-20544534.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unapata shida hata kupandisha BP yako bure, Mpira (soccer) win draw or lose ni kitu cha kawaida sana, otherwise uwe na timu yako ambaye itakuwa haichezi na timu zinginr
 
Back
Top Bottom