kikokotoleo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 465
- 417
Tunajua mwiko nyuma kunaumia gasho weeHichi ndicho kinachoikuta Simba hii ndiyo mechi yake ya MWISHO kuwa na furaha. Tunzeni haya maneno nipo nimekaa paleeee mje mniuwe kama itakuwa uwongo tutakutana hapa hapa kwenye page hii.
View attachment 2580019