paul miteda
Senior Member
- Jan 19, 2023
- 131
- 588
Hichi ndicho kinachoikuta Simba hii ndiyo mechi yake ya MWISHO kuwa na furaha. Tunzeni haya maneno nipo nimekaa paleeee mje mniuwe kama itakuwa uwongo tutakutana hapa hapa kwenye page hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee kaa kwakutulia tuwanywa kisha mnaenda morroco mnaliwa dah huu mwaka wenu shubaaaaaamitUna umwa
Hivi mnalipi lakutuumiza wakati leo ndiyo furaha yenu ya mwisho mzee tupo hapaMnaumia sana sjui kwanini??
Tena sana.Una umwa
Mtaumwa nyie bado mda kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]Tena sana.
😀😀Tena sana.
Unaumwa naweMzee kaa kwakutulia tuwanywa kisha mnaenda morroco mnaliwa dah huu mwaka wenu shubaaaaaamit
We paka nini, mbona hiyo mechi ya mwisho hujaitaja?Hichi ndicho kinachoikuta Simba hii ndiyo mechi yake ya MWISHO kuwa na furaha. Tunzeni haya maneno nipo nimekaa paleeee mje mniuwe kama itakuwa uwongo tutakutana hapa hapa kwenye page hii.
View attachment 2580019