Machozi Machozi Machozi kwa Simba

Ajabu wala mashabiki wa Simba hawafungui nyuzi hovyo kuiandama Yanga yetu sisi kila baada ya lisaa tunahangaika hadi huruma hii ni kuonyesha jinsi gani hawa viumbe wametuzidi kitu.
Safari bado ni ndefu🏃🏃
 
Unapata shida hata kupandisha BP yako bure, Mpira (soccer) win draw or lose ni kitu cha kawaida sana, otherwise uwe na timu yako ambaye itakuwa haichezi na timu zinginr
 
Ajabu wala mashabiki wa Simba hawafungui nyuzi hovyo kuiandama Yanga yetu sisi kila baada ya lisaa tunahangaika hadi huruma hii ni kuonyesha jinsi gani hawa viumbe wametuzidi kitu.
Safari bado ni ndefu🏃🏃

cc: Labani og

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…