tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
me ata sijui tukoje yani..Hahaaaaa nyie wanaume wagumu kutoa machoz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
me ata sijui tukoje yani..Hahaaaaa nyie wanaume wagumu kutoa machoz
nilivyosikia machozi dawa tu, yakaanza kutoka....AHAhah na wewe ebu acha uchiz apa, sasa kilichokuliza nini? Ahaha ha
Ila kuna pretenders anacheka muda huo na ghafla anabadilika na kuanza kulia hasa huwa nashangazwa mno na hiki kitendo nimewashuhudia mara nyingi wanasiasa na wasanii wakifanya hivi hasa pale camera zinapoelekezwa upande wao, yani unamuona kabisa mtu anavuta kasi ya kumwaga michozi
Naona kama thread imekaa kike kike vle...
Maana hata mifano imetolewa kwa wanawake tu.....
Asante mkuu kwa kuwasaidia ili waendelee kutudekea vizur....
Ulichonfurahisha mkuu ni ile kuwafundisha wawe wanatafuta sehema ya siri ya kulilia... hii itatusaidia vidume kutowaona kirahisi maana wanawake wengine ukithubutu tuu kumnyamazisha....akinyamaza... kama asipokuomba Hela basi utasikia "baby utaninunulia simu"
Kwaiyo mkuu jitahid uwatumie na nyingne ili wanapomaliza kulia wasiwe wanatusumbua....
Asante....
Yanasaidia macho kuona vzur, yanaitwa basal tears