Basi tezi zako za machozi zitakuwa na matatizo binamu.
Basi tezi zako za machozi zitakuwa na matatizo binamu.
Kwa mtoto anatanua mapafu,
Kwa mtu mzima anatoa dukuduku lake la moyoni.
shukuruni!!!
Inasaidia kutoa sumu ya hasira mwilini!
Usipolia wakati unahasira, mwili hutengeneza sumu ambayo huleta depression!
Ndio mana wanaume wanakufa mapema zaidi kwakuwa hawalii, na inapotokea wanajisikia kulia hujizuia, mwishowe ni death!