#COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

Muwe mnaenda hospital kuona wagonjwa,afu nyie maccm ndio mnawaandikiaga wagonjwa wenye maradhi sugu barua zenye mihuri na saini ya mkuu wa wilaya wawe omba omba njiani badala ya kuwatibu.

Leo ndio mumejua kuna wagonjwa Kisa huyo mkubwa?
 
Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Vipi na yule aliedanganya kua Mpango amekufa?
 
Afu kwa nini asijifukize mbona kuwekwa kwenye mitungi ya gas? Maccm acheni ushenzi kabisa wa kucheza na afya za watu,nunueni chanjo iletwe.
 
Afu kwa nini asijifukize mbona kuwekwa kwenye mitungi ya gas? Maccm acheni ushenzi kabisa wa kucheza na afya za watu,nunueni chanjo iletwe.
 
Huruma sana.

Your browser is not able to display this video.
 
Chanjo nitatumiia ya beberu mungu akipenda, vipi ule Uzi wako ulioanzisha ukiusoma sasa hivi unasikia kichefuchefu. Mimi ni mujinga kweri ila sijawahi muachie mjinga mwingine akiri zangu na kubishana na sayansi. Akiri zimewakaa sawa au bado?
Ule uzi uko palepale, pata chanjo ya beberu ikutibu hisia zako tuu
Kama ilivyo kwa malaria, hiv, cancer, diabetes, bp kuna kuna kuugua kupona na kufa ndivyo ilivyo kwa corona
Upo!?
 
Ule uzi uko palepale, pata chanjo ya beberu ikutibu hisia zako tuu
Kama ilivyo kwa malaria, hiv, cancer, diabetes, bp kuna kuna kuugua kupona na kufa ndivyo ilivyo kwa corona
Upo!?
Mentality of living in a state of denial!
 
Aksante sana utafikiri ulikuwa kichwani mwangu!!
Hili ni fundisho kubwa sana!!
 
Pumbavu kabisa.....nisiijue oxygen wakati ndo nacheza nayo kila siku.
Wewe ni hayawani kama mahayawani wengine
Unaona, unadhani kucheza nazo ndio akili! Wewe ni mwendawazimu mmoja hivi, eti uko kwa oxygen uchukue simu umtumie Magufuli! Mdanganye mpuuzi mwenzio
Ule uzi uko palepale, pata chanjo ya beberu ikutibu hisia zako tuu
Kama ilivyo kwa malaria, hiv, cancer, diabetes, bp kuna kuna kuugua kupona na kufa ndivyo ilivyo kwa corona
Upo!?
Sasa kelele zilikua za nini??
 
Pumbavu kabisa.....nisiijue oxygen wakati ndo nacheza nayo kila siku.
Wewe ni hayawani kama mahayawani wengine
Atueleze kwanza kama wale wanaokufa kila siku ubeberuni kule nao nini wameshindwa fanya sawasawa
 
Unaona, unadhani kucheza nazo ndio akili! Wewe ni mwendawazimu mmoja hivi, eti uko kwa oxygen uchukue simu umtumie Magufuli! Mdanganye mpuuzi mwenzio

Sasa kelele zilikua za nini??
Umepata kisingizio cha corona unaongea kweli sasa na kujitahidi kukoroma eti!... sasa nenda ukakoromee hukooo ubeberuni

Vinginevyo chukua tahadhari, fanya kazi sana, Kula vizuri, fanya mazoezi na kubwa ya yote muombe Mungu aliyekupa hiyo pumzi sanaaa
 
Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Lakini alisema kwamba mke wa Dr. Mpango alihusika na ile sms kwenye simu ya mumewe
 
Mungu hamsaidii mvivu,Mungu hamsaidii anaeenda kinyume na wajibu aliopewa,
Jaribu kuondoa askari wa barabarani na alama zote halafu acha watu waendeshe kiholela utaona kinchotokea ndo utajua Mungu hakutuwekea akili na maarifa kama pambo tu
Uuuh!! ni Mungu tu
 
Hakuna walichofanikiwa!!!!??
 
Mzee Baba alitupiga changa la macho kuwa Alitumiwa SMS na Mpango, kumbe Mpango alikua kwenye Oxygen hadi juzi! Aibu sana kudanganya
Uwe unasikiliza hotuba vzuri,,, mke pia anaweza tuma message kwa niaba ya mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…