#COVID19 Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

Kweli aendelee kusema kua hamna Covid-19 nchini apo .Pia wanaovaa masks wakamatwe
 
Jali afya yako, chukua tahadhari, Kula vizuri, fanya kazi na muombe Mungu sana sana
Barakoa, kuepuka misongamano ni muhimu.
Waziri hata nyumbani hajafika, hakumbuki kuvaa barakoa na kaitisha misongamano usio na ulazima, wanaomzunguka licha ya kuwa na muathurika mbashara, bado wanaendekeza siasa. Waziri bado ni dhaifu, wanaweza kumuathiri, waziri hajapona kwa asilimia 100, anaweza kuwaathiri, tuzinduke kutoka katika lindi la ujinga!
 
Kilaaaa mtu atauchukua msalaba wake mwenyewe (hawa ni wahenga)

Unapofanya mambo yako angalia usitingishe ya kwangu(methali mpya hizi)
 
Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Hakukuwa na ulazima. Na waziri bado anaendelea na matibabu, hajapona. Ukiangalia mkononi ana bendeji, ndani ya bendeji bado ana cannula, yaani sindano imeingizwa katika mshipa, ili aweze kutundikiwa maji, dawa, damu n.k.
Mungu amuepushe na gonjwa hili, ila asijaribu kushindana naye ili tu kumfurahisha rais. Yuko katika majaribu bado. Hajavaa barakoa, na wa pembeni yake vile vile, wote wanajiweka katika uwezekano wa maambukizi.
 
Ivi mitungi hii ni ghali sana kiasi kwamba hainunuliki? Kwanini watu wanamiliki magari hawawezi kununua mitungi kwaajili ya taadhari? Hii ikupe picha kwamba watawala wanayo mitungi kwaajili ya oksijeni lakini hawataki kuwambia watu ukweli juu ya CORONA.
 
 
Umejaza dafu kichani.
 
Za kuambiwa changanya na zako
Over
 
Ule uzi uko palepale, pata chanjo ya beberu ikutibu hisia zako tuu
Kama ilivyo kwa malaria, hiv, cancer, diabetes, bp kuna kuna kuugua kupona na kufa ndivyo ilivyo kwa corona
Upo!?
Kwa hii ligi mnayoendelea nayo mkibahatika kukutana mtakuwa marafiki wakubwa Sana. Mungu awaepushe msihasimiane tu.
 
Hao madaktari wanapongezwa ni bure kabisa huwezi kumtoa mtu anaestahili rehabilitation lumpa mic aongoze press pole Sana Dr Mpango siasa za bongo zitatuua
 
Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Ndio kulikuwa na umuhimu wa kufanya hivyo hasa ukizingatia jinsi walioanza kueneza uvumi wa kifo chake walivyokuwa wamejipanga kueneza zaidi hizi habari huku wakifurahia tukio walilotamani litokee .. lakini halikutokea!
 
Hata watu binafsi, tena mkoani, wamelazimika kununua mtungi na kwenda kujiwekea nyumbani, kwani hospitali gharama ni kubwa.
 
Huyo dokta mjinga huyo, yaani aliingizwa cha kike na jiwe asiwe anavaa barakoa alimanusura yamkute, nadhan atakuwa kapata fundisho,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…