Ndio alichosema?Uwe unasikiliza hotuba vzuri,,, mke pia anaweza tuma message kwa niaba ya mume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio alichosema?Uwe unasikiliza hotuba vzuri,,, mke pia anaweza tuma message kwa niaba ya mume
Kweli aendelee kusema kua hamna Covid-19 nchini apo .Pia wanaovaa masks wakamatweHivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.
Ina maana watu hatuwezi chukua hatua wenyewe mpaka tushikiwe fimbo?
UK USA na KN mbona wameswagwa kufanya hili na lile na hakuna walichofanikiwa??
Ombi langu kwa raisi wetu mpendwa:-
Endelea hivyo hivyo na misimamo yako. Kwani hakuna ujanja katika hili.
Barakoa, kuepuka misongamano ni muhimu.Jali afya yako, chukua tahadhari, Kula vizuri, fanya kazi na muombe Mungu sana sana
Hakukuwa na ulazima. Na waziri bado anaendelea na matibabu, hajapona. Ukiangalia mkononi ana bendeji, ndani ya bendeji bado ana cannula, yaani sindano imeingizwa katika mshipa, ili aweze kutundikiwa maji, dawa, damu n.k.Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Andika waziri mpangoNaomba kujua kichwa cha habari niipate youtube. Nadhani sasa atavaa barakoa haijalishi yuko wapi na yuko na nani.
Binti yake wa kumlea ni daktari bingwa mzuri Sana wa Emergency Medicine.Sijui hana familia..?? Yaan mzaz wangu nimkubalie ajianike hivyo anakohoa namna hiyo misuli ya uso imemsimama? Jaman mmemkosea sana huyu Baba
Sasa anakubalije baba yake awekwe hadharani namna hii😏Binti yake wa kumlea ni daktari bingwa mzuri Sana wa Emergency Medicine.
Hata sijui, labda shinikizo au ridhaa, inaweza kuwa moja kati ya hivyo.Sasa anakubalije baba yake awekwe hadharani namna hii😏
Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.
Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.
Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.
Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?
Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
Umejaza dafu kichani.Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.
Ina maana watu hatuwezi chukua hatua wenyewe mpaka tushikiwe fimbo?
UK USA na KN mbona wameswagwa kufanya hili na lile na hakuna walichofanikiwa??
Ombi langu kwa raisi wetu mpendwa:-
Endelea hivyo hivyo na misimamo yako. Kwani hakuna ujanja katika hili.
Za kuambiwa changanya na zakoKwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake.
Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama haujaumwa au haujamuona anayeumwa hii nimonia kali tuliyonayo kwa sasa unaweza usielewe ukatili wa kirusi cha corona.
Tumshukuru Dr Mpango kwa kufanya ile press conference,nadhani sasa watu wataelewa na wote tutazingatia njia za kujikinga na hiki kirusi. Waziri ametoa chozi hadharani sio kwa sababu nyingine bali ni kwa sababu ameponea chupuchupu. Hii nimonia kali haifai kabisa, omba isikukute.
Machozi ya Dr Mpango yawaamshe usingizini viongozi wetu na wajue kwamba this life is precious to everyone, hakuna asiyependa kuendelea kuishi, kila uhai unatakiwa kuthaminiwa na kupewa ulinzi wa hali ya juu. Hivyo wachukue hatua sahihi zinazohakikisha kila mtu analindwa na hatari yoyote.
Dr Mpango amesema alikuwa anaishi kwa mtungi wa oksijeni nyumbani. Baadaye akahamishiwa hospitalini ambako amekaa kwa wiki 2 akipumulia oksijeni. Sasa tujiulize ni watanzania wangapi wenye uwezo wa kununua mitungi ya oksijeni na kukaa nayo nyumbani pindi wanapoumwa?
Ni wachache sana hata asilimia 1 haifiki. Kwa muktadha huo njia rahisi na nyepesi ya kuepuka kufika huko ni kwa kuchukua tahadhari. Kinga siku zote huwa ni cheap kuliko tiba.
Mkuu washalikoroga hakuna msaada wowote sasa hivi waaendelee kuchukua wagonjwa na kuwaonyesha Watanzania wamepona itasaidia sanaMazingira ya emergency yafanyike vipi?
Kwa hii ligi mnayoendelea nayo mkibahatika kukutana mtakuwa marafiki wakubwa Sana. Mungu awaepushe msihasimiane tu.Ule uzi uko palepale, pata chanjo ya beberu ikutibu hisia zako tuu
Kama ilivyo kwa malaria, hiv, cancer, diabetes, bp kuna kuna kuugua kupona na kufa ndivyo ilivyo kwa corona
Upo!?
Ndio kulikuwa na umuhimu wa kufanya hivyo hasa ukizingatia jinsi walioanza kueneza uvumi wa kifo chake walivyokuwa wamejipanga kueneza zaidi hizi habari huku wakifurahia tukio walilotamani litokee .. lakini halikutokea!Je, kulikuwa na umuhimu wowote wa kujitokeza hadharani akiwa ktk hali ile? Au lilikuwa ni shinikizo, ili kumuonyesha mtu fulani, kuwa anachokisema sio sahihi?!!badala ya kuondoa maswali wameyaongeza mala mia!
Hata watu binafsi, tena mkoani, wamelazimika kununua mtungi na kwenda kujiwekea nyumbani, kwani hospitali gharama ni kubwa.Ivi mitungi hii ni ghali sana kiasi kwamba hainunuliki? Kwanini watu wanamiliki magari hawawezi kununua mitungi kwaajili ya taadhari? Hii ikupe picha kwamba watawala wanayo mitungi kwaajili ya oksijeni lakini hawataki kuwambia watu ukweli juu ya CORONA.