Mafyangula
Member
- Jan 16, 2025
- 75
- 100
Rais wetu kipenzi cha Watanzania wote Dkt Samia Suluhu Hassani, hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana maana kila kona ni maendeleo.
Kwenye huduma za afya umeweka hela nyingi kama vile ujenzi wa zahanati, vituo vya afya, madawa n.k
Umegusa kwenye miundombinu ya barabara huko usiseme, Umeme upo na utakuwepo hadi kutapika.
Umemwaga ajira za kutosha, umemtua ndoo kichwani mwanamke. Yani umetenda haki kwa watanzania.
Kwa makubwa uliyoyafanya vyama vya upinzani vinahaa sana tena sana na kama kile chama cha waropokaji.
Mama Samia mitano tena hadi 2030 unaweza hasaaaa! kazi yako ni kubwa sana na wewe ndiye Rais ambaye Mungu alikuwa na kusudi na wewe sanaaaa. Mungu akulinde akuepushie vijicho vya waliwengu wenye roho mbaya....!