Machozi ya furaha yananidondoka kila wakati ni kitazama maendeleo makubwa yalioletwa na Rais Samia

Machozi ya furaha yananidondoka kila wakati ni kitazama maendeleo makubwa yalioletwa na Rais Samia

Rais wetu kipenzi cha Watanzania wote Dkt Samia Suluhu Hassani, hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana maana kila kona ni maendeleo.

Kwenye huduma za afya umeweka hela nyingi kama vile ujenzi wa zahati, vituo vya afya, madawa n.k
Umegusa kwenye miundombinu ya barabara huko usiseme, Umeme upo na utakuwepo hadi kutapika.

Kwa makubwa uliyoyafanya vyama vya upinzani vinahaa sana tena sana na kama kile chama cha waropokaji.

Mama Samia mitano tena hadi 2030 unaweza hasaaaa! kazi yako ni kubwa sana na wewe ndiye Rais ambaye Mungu alikuwa na kusudi na wewe sanaaaa. Mungu akulinde akuepushie vijicho vya waliwengu wenye roho mbaya....!
Hongera
 
Uchawa kazi sana yote haya kuvizia buku 8 mkuu fanya kazi huyo mama yako akitoka utapata shida na sijui wanao watalisi hiyo buku 8 yaan aibu sana
Watoto wangu wanakula vizuri sana tu na watendelea kufurahi maisha
 
Au kuna mtu haoni au hasikii yanayofanywa na rais hadi nyie machawa mtangaze, msemaji w serikali G.Msigwa afanye kazi gani
 
Back
Top Bottom