Machungu ya katiba bora, Majaji 6 wa Ruto ngoma bado mbichi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana?
Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya:

"Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma."

Hawa 6 kwa Ruto walipenya, lakini kufanya kazi kama majaji, bado wamekikwaa kisiki kingine!

NInakazia: katiba yenye umadhubuti kama huu haiwezi kupatikana kirahosi kutoka kwa watawala, mezani.
 
Kwa nchi zetu hizi katiba bora itapatikana kwa kumwaga damu tuu. Kenya waliuwana hatari wakaheshimiana. Sasa hapa tz nani yuko tayari kufa kwa ajili ya manufaa ya wengine? Wafuasi wa
Zito???
Mbowe???
Ccm??
Hakuna
 
Wasiokuwa tayari kufa si watupishe tu.m? Hivi vyama si mali binafsi. Walio tayari kulipa gharama ikiwamo kufa wapo wengi tu.

Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

Tusingependa kutimuana style ya Mama Tanzania.

Wakisema wavumao baharini papa Lakini na wengine wapo.
 
Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana?
Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya:

"Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma."

Hawa 6 kwa Ruto walipenya, lakini kufanya kazi kama majaji, bado wamekikwaa kisiki kingine!

NInakazia: katiba yenye umadhubuti kama huu haiwezi kupatikana kirahosi kutoka kwa watawala, mezani.
Sijaelewa vema.Habari kama imeanza kati na kuisha kienyeji.
 
Ile rasimu ya Warioba naona ndio ilikuwa na ubora wa aina hiyo, kwamba Rais asijione Mungu mtu afanye kulingana na mapenzi yake kuwateua rafiki zake.

Hapa napata picha, kumbe Kenyatta kuwakataa wale majaji alikuwa na pointi ya msingi, alitumia weledi kuendana na sheria, sasa huyu jamaa yangu aliyeingia ikulu juzi na wenge la ushindi ndio anaanza kuyaona machungu ya Urais wake.
 
Kumtemesha aliye madarakani katiba hii ya kwetu, inataka kazi ya ziada.

Kwa kisiki hiki anayetaka kuongoza CCM style, katiba inayomwondolea u Mungu utu hawezi kuipenda.
 
Back
Top Bottom