Kwa nchi zetu hizi katiba bora itapatikana kwa kumwaga damu tuu. Kenya waliuwana hatari wakaheshimiana. Sasa hapa tz nani yuko tayari kufa kwa ajili ya manufaa ya wengine? Wafuasi wa
Zito???
Mbowe???
Ccm??
Hakuna
Sijaelewa vema.Habari kama imeanza kati na kuisha kienyeji.Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana?
Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya:
"Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma."
Hawa 6 kwa Ruto walipenya, lakini kufanya kazi kama majaji, bado wamekikwaa kisiki kingine!
NInakazia: katiba yenye umadhubuti kama huu haiwezi kupatikana kirahosi kutoka kwa watawala, mezani.
Sijaelewa vema.Habari kama imeanza kati na kuisha kienyeji.
Ile rasimu ya Warioba naona ndio ilikuwa na ubora wa aina hiyo, kwamba Rais asijione Mungu mtu afanye kulingana na mapenzi yake kuwateua rafiki zake.
Hapa napata picha, kumbe Kenyatta kuwakataa wale majaji alikuwa na pointi ya msingi, alitumia weledi kuendana na sheria, sasa huyu jamaa yangu aliyeingia ikulu juzi na wenge la ushindi ndio anaanza kuyaona machungu ya Urais wake.