Mack Malick Simba(Mack 2b),afariki dunia

Mack Malick Simba(Mack 2b),afariki dunia

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
msanii maharufu kipind cha nyuma kidogo amefarik dunia .Hizi habari nimepata kutoka watu wa karibu na yeye
ni maharufu kwa jina la MACK 2B
 
Msanii na Producer wa muziki wa
Bongo Fleva na Reggae Mack Malik
Simba (Mack 2B) amefariki dunia.

Kaka wa marehemu Msafiri
Masharubu amesema kuwa alikuwa
akisumbuliwa na tatizo la kuvimba
Kwa miguu na amefia nyumbani kwao
Yombo.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU
MAHALI PEMA PEPONI, AMEN!
 
Tuwekee picha yake tujue bwana. Wengine hatumkumbuki vizuri.
 
msanii maharufu kipind cha nyuma kidogo amefarik dunia .Hizi habari nimepata kutoka watu wa karibu na yeye
ni maharufu kwa jina la MACK 2B
mack simba.jpg.Dah!! Jamaa tulikuwa naye jana akadai baada ya kupona anatoa wimbo unaitwa After death.... Leo asubuhi hali ikawa mbaya sana ile kumpa soda anywe akafariki hatimaye. Tupo hapa home muda huu, tunazika kesho saa nne asubuhi...... Yombo makangarawe......
 
View attachment 114496.Dah!! Jamaa tulikuwa naye jana akadai baada ya kupona anatoa wimbo unaitwa After death.... Leo asubuhi hali ikawa mbaya sana ile kumpa soda anywe akafariki hatimaye. Tupo hapa home muda huu, tunazika kesho saa nne asubuhi...... Yombo makangarawe......

mungu amlaze pema peponi pia nawahasa wanamuzik kuacha madawa na bangi kupitiliza
.nishapoteza rafik zangu zaidi ya 20 kutokana na madawa. wengine walijioverdoze. wengine kuchoma visu baada ya kuzulumiana. wengine bunduki.

wote RIP
 
duh! jamaa last time kuna mtu aliweka picha yake JF alikuwa amechoka sana!ila mihadarati alianza kutumia kitambo sana pale SOUNDCRAFTER STUDIO.
apumzike panapomstahili producer,musician,mteule group member.Bwana alitoa na Bwana ametwaa,uliumbwa kwa udongo na utakufa kwa udongo.Jina na Bwana lihimidiwe

Ijumaa-ShowBiz.jpg
 
Namkubuka sana jamaa kwa sauti tamu,hasa kwenye kiitikio ktk "Ndani ya party" ya Solo thang....Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 
Back
Top Bottom