pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
yaani timu flani imefunga goli kumi,
Wapinzani wao ndio kwanza wana goli mbili lakini jamaa tumbo joto
Kweli aliyezoea mteremko siku akiukosa anaweza kufa kwa kihoro