pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Ookkeeee, kumbeeeePicha : rais mstaafu Benjamin William Mkapa akiwa na Macocha Moshe Tembele msaidizi wake maalum wa masuala ya Ofisi ya Rais mstaafu
View attachment 2233357
View attachment 2233358
Maharage Chande ana channel long time.Jamani wenye majina ya ajabu wanakula vitengo!
Mwingine anaitwa maharage Chande kala kitengo huko Tanesco.
Sasa sisi wenye majina ya kisasa tufanyeje
Nadhani karibu na mimi nakula kitengo: Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde πππJamani wenye majina ya ajabu wanakula vitengo!
Mwingine anaitwa maharage Chande kala kitengo huko Tanesco.
Sasa sisi wenye majina ya kisasa tufanyeje
Tembele linaweza kua ni jina la nchi gani?Hilo jina nina mashaka kama ni mtanzania
Ana undugu na viazi vya Tabora.Mteuliwa hana undugu na Ali Moshi Tembele?
Mnyamwezi kaka yake Ali Mayayi TembeleHilo jina nina mashaka kama ni mtanzania
WamefananaKaka yake na Ali Mayayi Tembele