MACVOICE ni Moto wa Kuotea mbali kama umebahatika Kuskiliza EP yake ya MY VOICE ndo Utanielewa

Who is she?
Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini kasuku ndege wanguuuu leo umekuwa bundi...... Pokea zangu salamu bado sijui ntapona lini umevunja moyo wangu weeee ndio ulikuwa gundiii..πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸŽΆπŸŽΆπŸŽΆπŸŽ΅πŸŽ΅πŸŽ΅πŸŽ΅πŸš€πŸš€πŸš€πŸš€
 
Hawezekaniki ashaingia mjini
 
Hii ni taarabu?
 

[emoji91][emoji91]
 
Nmegundua hii ndo official account ya wasafi ya JF maalumu Kwa propaganda zao
 
sio kama ibra hata uwezo wa kumiliki baiskel hana ila kutwa kutafuta kik"

Hichi ndicho ulikuwa unatafuta..
 
Walisikika vijana wa mtaani "Hamna kitu pale atoke utumwani asimame mwenyewe"πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
tamu..... bonge la wimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…