Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #21
Ule wimbo wa tamu ni nzuri sana, hongera Macvoice
Ile nyimbo ni [emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule wimbo wa tamu ni nzuri sana, hongera Macvoice
Who is she?
Mbona umepanic 🤣🤣🤣Dada yako
Wewe ndo unasumbuka unamnadi huyo choko alafu unamzungumzia ibra kaingiaje hapoKatafute hela acha kutusumbua mzee
Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini kasuku ndege wanguuuu leo umekuwa bundi...... Pokea zangu salamu bado sijui ntapona lini umevunja moyo wangu weeee ndio ulikuwa gundiii..😭😭😭😭😭🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🚀🚀🚀🚀Who is she?
Hawezekaniki ashaingia mjiniSiri ya mwezi, siri ya nyota siri ya angani...siri ya njozi, usingizi siri ya kitandani...ila siri ya penzi siri ya moyo siri ya nani? Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani...!!😞😞😩😩🔥🔥🔥🎶🎵🎵🎼
Hii ni taarabu?Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini kasuku ndege wanguuuu leo umekuwa bundi...... Pokea zangu salamu bado sijui ntapona lini umevunja moyo wangu weeee ndio ulikuwa gundiii..😭😭😭😭😭🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🚀🚀🚀🚀
Afro soul.Hii ni taarabu?
Wewe ndo unasumbuka unamnadi huyo choko alafu unamzungumzia ibra kaingiaje hapo
Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini kasuku ndege wanguuuu leo umekuwa bundi...... Pokea zangu salamu bado sijui ntapona lini umevunja moyo wangu weeee ndio ulikuwa gundiii..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji573][emoji573][emoji573][emoji573]
Hii ni taarabu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni taarabu?