MACVOICE ni Moto wa Kuotea mbali kama umebahatika Kuskiliza EP yake ya MY VOICE ndo Utanielewa

MACVOICE ni Moto wa Kuotea mbali kama umebahatika Kuskiliza EP yake ya MY VOICE ndo Utanielewa

Who is she?
Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini kasuku ndege wanguuuu leo umekuwa bundi...... Pokea zangu salamu bado sijui ntapona lini umevunja moyo wangu weeee ndio ulikuwa gundiii..😭😭😭😭😭🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🚀🚀🚀🚀
 
Siri ya mwezi, siri ya nyota siri ya angani...siri ya njozi, usingizi siri ya kitandani...ila siri ya penzi siri ya moyo siri ya nani? Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani...!!😞😞😩😩🔥🔥🔥🎶🎵🎵🎼
Hawezekaniki ashaingia mjini
 
Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini kasuku ndege wanguuuu leo umekuwa bundi...... Pokea zangu salamu bado sijui ntapona lini umevunja moyo wangu weeee ndio ulikuwa gundiii..😭😭😭😭😭🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🚀🚀🚀🚀
Hii ni taarabu?
 
Sijuti kukufahamu ila najuta kukuamini kasuku ndege wanguuuu leo umekuwa bundi...... Pokea zangu salamu bado sijui ntapona lini umevunja moyo wangu weeee ndio ulikuwa gundiii..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji573][emoji573][emoji573][emoji573]

[emoji91][emoji91]
 
Nmegundua hii ndo official account ya wasafi ya JF maalumu Kwa propaganda zao
 
sio kama ibra hata uwezo wa kumiliki baiskel hana ila kutwa kutafuta kik"

Hichi ndicho ulikuwa unatafuta..
 
Walisikika vijana wa mtaani "Hamna kitu pale atoke utumwani asimame mwenyewe"🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom