Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa kitu cha muzik
Yes, Water world niliiona enzi za vibanda umiza. Ngoja nijaribu kuitafuta hii uliyoweka hapa.umajuaje mkuu. waterworld ni moja ya movie niliyoangalia mara nyingi sana. costner kauzu sana humo ndani. kitu ya 1995 lakini mpaka leo hainichoshi.
Hiyo kitu ikianza kupigwa lazima uenjoy..plus jamaa wa ngomaHaaaa kitu cha muzik
mkuu hii ni movie au series?Kuna hii hidden identity aisee bado huwa nawaza kuna watu wako na Uwezo mkubwa kiasi cha kufanya investigation kabambe kama ilivyo kwenye hii move?
Kuna science fiction pia chifu...Najiulizaga sana jinsi wanavyo act moviez kama hizi daah"
mi ninayo hapa kwenye pc huwa siielewi na sijawahi iangalia hadi mwisho naonaga km haina uhalisia
wale wote ni survivals wa vita kuu ya nyuklia. dunia imekuwa jangwa na wanaishi kwa magenge na kuporana. yule immortan joe akawa kama anajifanya messiah na wale war boys wakawa wakimsujudu wakiamini anafunguo za kuzimu/peponi (valhalla). pia alijimilikisha wanawake warembo kama wakeze.mi ninayo hapa kwenye pc huwa siielewi na sijawahi iangalia hadi mwisho naonaga km haina uhalisia
Daaah mkuu hata mimi nili angalia mara mojaa ilaa sikuielewaa ila nili enjoy action tu....wale wote ni survivals wa vita kuu ya nyuklia. dunia imekuwa jangwa na wanaishi kwa magenge na kuporana. yule immortan joe akawa kama anajifanya messiah na wale war boys wakawa wakimsujudu wakiamini anafunguo za kuzimu/peponi (valhalla). pia alijimilikisha wanawake warembo kama wakeze.
yule furiosa alikuwa na plan ya kuwatorosha hao wanaweke kwenda sehemu aliyowahi ishi utotoni. hardy ye alikamatwa pale mwanzoni na kufanywa blood bag kwa yule war boy mgonjwa. jamaa alikuwa blood group O. pia kullikuwa na magenge mengine kama wale bikers wa kwenye korongo, bullet farm, gastown na wale wana gari kama nungunungu.
$135m kweli hapo hamna kinachoshindikana" na ndio maana hii movie ilikua shida sana kuipata free ilivyotoka ilichukua muda ndio wakaiachia clear version kwenye torrent kwetu cc wapenda mteremkokwa bajeti ya $135m zaidi Tsh 270bln kila kitu kinawwezekana. zile gari zinaundwa, wanatafuta stuntmen bora kabisa, animators na watu wa visual effect bora.