khuffuempire
Member
- Sep 13, 2015
- 24
- 22
XT ni turbo mkuu, na iyo 'T' inasimama badala ya turboSio zote na ukikuta isiyokuwa na turbo imeandikwa kabisa non turbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
XT ni turbo mkuu, na iyo 'T' inasimama badala ya turboSio zote na ukikuta isiyokuwa na turbo imeandikwa kabisa non turbo
Aiseee ni kagari kazuri ila mi niliwahi gargara nako cna hamuView attachment 1474221
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HIIWakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote ya husuyo hizi aina za haya magari.
Stability zake,upatikanaji wa spare na mengine yote ambayo mtu yeyote angependa kuyajua.Huyu jamaa yupo mkoani na amejaribu kuangalia aina hizo hazipo na yeye yupo interested nayo kwa kuwa ni 4DW kulingana na maeneo anayoishi anahitaji mkoko wa namna hiyo.
Kwa kuwa JF inakila aina ya uelewa kwa niaba yake naomba niwasilishe ili apate la kumsaidia kwenye hii issue nzima.
---
View attachment 1485098
UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA WADAU
---
---
---
---
---
---
Aiseee ni kagari kazuri ila mi niliwahi gargara nako cna hamu
Power na fuel consumptionTofauti kati turbo na non-turbo vehicle ikoje
Ipi consumption yake ya mafuta iko juuPower na fuel consumption
Ipi consumption yake ya mafuta iko juu
Najua Yenye Turbo charger obvious inagenerate high power kwenye engine lakini sijui kama power ikiwa kubwa inachangia ulaji gani wa mafutaPower na fuel consumption
More power, more fuel usage bro.Najua Yenye Turbo charger obvious inagenerate high power kwenye engine lakini sijui kama power ikiwa kubwa inachangia ulaji gani wa mafuta
Yenye turbo obviously consumption ya mafuta ipo juu. Turbo inatoa boost kubwa kwny power ya engine kwa kulazimisha air iliyo compressed kuingia kwny cylinders, hvy mafuta mengi pia yanatumika.Ipi consumption yake ya mafuta iko juu
Kwenye instagram admin wa team cruiser alielezea turbo deeply na moja katika faida alizotaja ni kupunguza ulaji wa mafuta,kiasi fulani nilimuelewa ukizingatiwa ulaji wa mafuta wa 1hz ni mkubwa kuliko 1hdt.More power, more fuel usage bro.
Wakuu husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Kwa muda mrefu sana nimekua na ndoto ya kumilik gari ya juu nikimaanisha SUV
Mungu amenijalia nimepata kafedha kidogo, budget ya 25mil
Nimepitia mitandaoni sana na nimegundua hilo gari pendwa yaaan Subaru forester ni moja ya magari yanayonunuliwa sana kwa hapa Tz kwa wakati huu, na pia bei yake naona iko ndani ya bajeti yangu ya 25mil...
Sasa basi,nimekuja kwenu kuomba ushauri kuhusu hili gari kabla sijafanya maamuzi ya kulinunua.... Ntashukuru sana nikipata ushauri unaolenga masuala yafuatayo;
1. Subari forester zenyewe zipo model ngapi? maana naona zingine ni XT na zingine ni XS
2. Vipi kuhusu ulaji wa mafuta? ingawa naona nyingi zina cc around 2000cc
3. Vipuli vyake je? Upatikanaji wake upoje? Bei zake ni ghali sana au affordable kwa mwananchi mwenye kipato cha wastani?
4. Performance yake kiujumla zipoje? hapa namaanisha speed, confortability, luxuries na space ya ndani?
5.Mwisho kabisa unanishauri kwa bajeti iyo ya 25mil, ni aina gani ya SUV ambayo naweza kuinunua na ikakidhi au ikaizidi kabisa Subaru Forester?
Nipende tu kutanguliza shukrani maana naamini kabisa kupitia humu JF ,mtanijuza mengi na kunifahamisha yote yale ambayo sikua nayafahamu kuhusu ili gari.
Asanteni sana
Mkuu asante sana kwa mchango wakoForester Xt ..
Mi niseme hapo kwenye aina nipasemee kidogo coz zipo nyingi kwa gari moja … but iliyo bora kwangu ni moja tu ambayo ni full option …
Kwa maaana…
1. Leather sit
2. Moon Roof
3. Turbo
4. I drive .. kwa maana ina button ya kuweka option za Sports, Sports#, na I-drive ..
5. Push start..
6 ununue ya kutoka japan sio hizi za kutoka nchi nyingine kwani kwa mimi naona za japan zipo vzr zaidi kwa hali..
7. Kama unaagiza mwenyewe basi chagua iliyo katika class za juu .. usidanganyike na bei za chini .. itakucost zaidi ikifika hapa dsm.. kwa maana ya matengenezo mengi..
Kiujumla ni gari nzuri hautajutia …kama
Mpenda magari..
kwanza mkuu naomba kukukosoa kdgo hmna model ya XS ktk subaru izo n joint venture za subaru na toyota subaru as subaru kuna XT kwa wepesi au lugha yetu huwa n km symbolize ya turbo carWakuu husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Kwa muda mrefu sana nimekua na ndoto ya kumilik gari ya juu nikimaanisha SUV
Mungu amenijalia nimepata kafedha kidogo, budget ya 25mil
Nimepitia mitandaoni sana na nimegundua hilo gari pendwa yaaan Subaru forester ni moja ya magari yanayonunuliwa sana kwa hapa Tz kwa wakati huu, na pia bei yake naona iko ndani ya bajeti yangu ya 25mil...
Sasa basi,nimekuja kwenu kuomba ushauri kuhusu hili gari kabla sijafanya maamuzi ya kulinunua.... Ntashukuru sana nikipata ushauri unaolenga masuala yafuatayo;
1. Subari forester zenyewe zipo model ngapi? maana naona zingine ni XT na zingine ni XS
2. Vipi kuhusu ulaji wa mafuta? ingawa naona nyingi zina cc around 2000cc
3. Vipuli vyake je? Upatikanaji wake upoje? Bei zake ni ghali sana au affordable kwa mwananchi mwenye kipato cha wastani?
4. Performance yake kiujumla zipoje? hapa namaanisha speed, confortability, luxuries na space ya ndani?
5.Mwisho kabisa unanishauri kwa bajeti iyo ya 25mil, ni aina gani ya SUV ambayo naweza kuinunua na ikakidhi au ikaizidi kabisa Subaru Forester?
Nipende tu kutanguliza shukrani maana naamini kabisa kupitia humu JF ,mtanijuza mengi na kunifahamisha yote yale ambayo sikua nayafahamu kuhusu ili gari.
Asanteni sana
iko ktk perfomance turbo charge iko more sharp ktk acceleration na ulaji wa mafuta unaongezeka kdgoTofauti kati turbo na non-turbo vehicle ikoje
Wakuu husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Kwa muda mrefu sana nimekua na ndoto ya kumilik gari ya juu nikimaanisha SUV
Mungu amenijalia nimepata kafedha kidogo, budget ya 25mil
Nimepitia mitandaoni sana na nimegundua hilo gari pendwa yaaan Subaru forester ni moja ya magari yanayonunuliwa sana kwa hapa Tz kwa wakati huu, na pia bei yake naona iko ndani ya bajeti yangu ya 25mil...
Sasa basi,nimekuja kwenu kuomba ushauri kuhusu hili gari kabla sijafanya maamuzi ya kulinunua.... Ntashukuru sana nikipata ushauri unaolenga masuala yafuatayo;
1. Subari forester zenyewe zipo model ngapi? maana naona zingine ni XT na zingine ni XS
2. Vipi kuhusu ulaji wa mafuta? ingawa naona nyingi zina cc around 2000cc
3. Vipuli vyake je? Upatikanaji wake upoje? Bei zake ni ghali sana au affordable kwa mwananchi mwenye kipato cha wastani?
4. Performance yake kiujumla zipoje? hapa namaanisha speed, confortability, luxuries na space ya ndani?
5.Mwisho kabisa unanishauri kwa bajeti iyo ya 25mil, ni aina gani ya SUV ambayo naweza kuinunua na ikakidhi au ikaizidi kabisa Subaru Forester?
Nipende tu kutanguliza shukrani maana naamini kabisa kupitia humu JF ,mtanijuza mengi na kunifahamisha yote yale ambayo sikua nayafahamu kuhusu ili gari.
Asanteni sana
Kwenye instagram admin wa team cruiser alielezea turbo deeply na moja katika faida alizotaja ni kupunguza ulaji wa mafuta,kiasi fulani nilimuelewa ukizingatiwa ulaji wa mafuta wa 1hz ni mkubwa kuliko 1hdt.
Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app