Sasa iliyoanza production ni 1hz ikaja 1hdt hilo liko wazi kuwa hd imo more advanced na ndio maana zote zina engine displacement sawa 4.2 ila ukweli kuhusu turbo uko wazi kuongeza nguvu ya injine na kupunguza ulaji wa mafuta.1hdt iko more advanced kwenye tech ukilinganisha na 1hz. Wala siyo kwa sababu ya turbo.
Sasa iliyoanza production ni 1hz ikaja 1hdt hilo liko wazi kuwa hd imo more advanced na ndio maana zote zina engine displacement sawa 4.2 ila ukweli kuhusu turbo uko wazi kuongeza nguvu ya injine na kupunguza ulaji wa mafuta.
Mkuu bado huna vitu huvielewi.
Turbo inapunguzaje ulaji wa mafuta kwenye gari?...
Naona wengi wenye turbo wanauza sijui kwa nn?Mkuu kuna tofauti gani kati ya Subaru Forester 2.0XS na 2.0 XT?.. na ipi ni chaguo bora?
Hahahahah kinachoendelea kwenye pampu za Petrol station sio poa😁!Naona wengi wenye turbo wanauza sijui kwa nn?
Battery huna hapo mkuuNikipiga starter gari linawaka then linazima nikijaribu tena linawaka vzuri ila nikizima nikapiga starter hilo tatizo linajitokeza na dashboard iko clean pia after service gari limeoshwa
Plugs hizo zimeingia maji Kama sikosei zikifutwa fresh inakua sawaNikipiga starter gari linawaka then linazima nikijaribu tena linawaka vzuri ila nikizima nikapiga starter hilo tatizo linajitokeza na dashboard iko clean pia after service gari limeoshwa
Ttzo Sio battery ingekua battery Gari isingewaka kabsa hizo plug zinashindwa kuchoma mafuta vzuri sababu ya majiBattery huna hapo mkuu
Acha uongo,mimi msukuma ninano Subaru,Forester XT 1990 cc ya mwaka 2008Nina hakika 80% wanaoshabikia hii gari ni watu wa kutoka kaskazini mwa Tanzania
Hahahahah hongera sanaAcha uongo,mimi msukuma ninano Subaru,Forester XT 1990 cc ya mwaka 2008
Subaru walikuzinguaga nn mkuu? [emoji1787] Naona ww ni number one hater[emoji23][emoji1430]Nina hakika 80% wanaoshabikia hii gari ni watu wa kutoka kaskazini mwa Tanzania
Mama bado anaupiga mwingi [emoji1][emoji1]Hahahahah kinachoendelea kwenye pampu za Petrol station sio poa[emoji16]!
Yani jana nimekuta bei ni 2429 badala ya 2419 niliozoea. Kweli mama anatuvusha kuelekea uchumi wa kati
Hamna mkuuSubaru walikuzinguaga nn mkuu? [emoji1787] Naona ww ni number one hater[emoji23][emoji1430]