Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

asante mangi
 
Wakuu msaada hapo,interms of fuel consumption, spear na kuhimili mikiki ya barabara mbovu!
 
Wakuu msaada hapo,interms of fuel consumption, spear na kuhimili mikiki ya barabara mbovu!
Forester ni gari nzuri sana kuhimili
Wakuu msaada hapo,interms of fuel consumption, spear na kuhimili mikiki ya barabara mbovu!
Forester ni gari nzuri na imara ..kwenye offroad pia ipo vzuri
shida ni running cost yake ipo juu interms of fuel na spare parts pia
 
Kweli tunatofautiana, hii chuma siielewi kabisa.

Ulishawahi kuwa nayo au unahisi kwa kuiona tuu? Kuna kitu unasahau , ni gari ya bei rahisi yenye nguvu, speed na imara.. naona unafananisha sijui na v8 hayo ni matambo tuu ya sisi vijana ila usisahau hii mada ni ya Subaru’s..japo usisahau ukiweza manage kuitunza subaru ni rahisi sana ku manage v8 [emoji2]
 
Siipendi niwe nayo vipi tena..
 
Umekata hamu yote ya Subaru hapa
 
Mmmh!tukukubalie wewe tuachane na wataalamu?mkuu usilazimishe hoja yako iwe ya nguvu.
 
Gharama ya Subaru Forester XS na XT kwa sasa ni kiasi hadi mkononi .
Naona kupata ufafanuzi wa namna ya kujua gharama.

Second generation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…