Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hivi modem zina bios ndiyo kwanza nasikia toka kwake inawezekana I have outdated skillsKwamba ume unlock sasatel? Hii sidhani kama ni kweli, Hio ni cdma na haiwezi fanya kazi kwa mtandao wowote wa sasa, ni kama unasema umefanikiwa kufungua mfuniko wa tank la la mafuta la gari ya Diesel ukaweka Petroli na gari linatembea.
Vifaa vyote vina bios mkuu, hizi modem/router ni computer kabisa zina processor, ram, storage etc sema wanaziweka kwa udogo sana. Kuna watu wana badili os zake na kuweka linux kwa baadhi ya modem/router.Hivi modem zina bios ndiyo kwanza nasikia toka kwake inawezekana I have outdated skills
Je CDMA ina maanusha nini, GSM VS CDMA, sorry I know the difference between CDMA and GSM am not closed minded and that to change dashboard it was possible for some modern, because I have done several times, but to change bios of modern ?Vifaa vyote vina bios mkuu, hizi modem/router ni computer kabisa zina processor, ram, storage etc sema wanaziweka kwa udogo sana. Kuna watu wana badili os zake na kuweka linux kwa baadhi ya modem/router.
Ukitoa hivyo virefu vyake Cdma na Gsm ni standard za mitandao ya simu.Je CDMA ina maanusha nini, GSM VS CDMA, sorry I know the difference between CDMA and GSM am not closed minded
Nazikumbuka simu za TTCL kuna watu bado wanazo tena zinawaka vizuri ukiwambia hata uki unlock huwezi kuzitumia kwa maana mitambo iliyopo Tanzania kwasasa inatumi line ya GSM hawakuelewi, zamani nilikuwa nazifyatua mimi ni fundi wa kwanza morogoro wa software na hardware, 2002 na mwenyekiti mwanzilishi wa mafundi simu morogoroUkitoa hivyo virefu vyake Cdma na Gsm ni standard za mitandao ya simu.
Cdma ni standard ya marekani na makampuni yake kina Verizon, Sprint wakati huo bila kumsahau alieitengeneza Qualcomm.
Gsm ni standard ya Ulaya kina Nokia, Ericson na baadhi ya mitandao ya Japan huko.
So wakati huo walikua wanagombania wateja, kila mtu anataka Standard yake itumike dunia nzima, ndio maana hapa kwetu ukakuta Mitandao kama Zantel, TTCL, Sasatel wanatumia Cdma wakati huo na kina Voda, Tigo, Airtel wapo Gsm.
Sema mwisho wa siku Gsm akashinda na kuanzia technology ya 4G kukawa hakuna tena mambo ya Gsm na Cdma dunia nzima tu Katumia standard moja.
Umenikumbusha Sasatel, mpaka leo nina modem yao moja nyeusi. ππππOVERALL TOP SOLUTION FOR MODERM: do bios programming ... program chip ya bios chip ya moderm... nimeunlock modem zote zilizoshindikanaga .. hadi zile za sasatel... had zile za voda, tigo, halotel mpya. just do this or nitafute